Majaliwa: Serikali itasambaza magari 120 ya wagonjwa

Waziri Mkuu,  Kassim Majaliwa

Muktasari:

Waziri mkuu alitoa kauli hiyo leo Februari 17, 2018  baada ya kuzindua kituo cha afya cha Kahangara wilayani Magu mkoani Mwanza kilichojengwa kwa gharama ya zaidi ya Sh500milioni zilizotolewa na Serikali.