Utajiri ronaldo ni pesa popote

Kati ya wachezaji wanaoongoza kwa kipato ni Cristiano Ronaldo, lakini vilevile Lionel Messi naye ni mmoja wa wachezaji wanaopata pesa nyingi kutokana na mikataba na fedha anazolipwa na klabu yake. Messi anapata jumla ya Dola 80milioni kwa mwaka.

Mwingine ambaye chati yake imepanda ghafla ni mshambuliaji wa PSG, Neymar. Mbrazil huyo kwa sasa anaingia kwenye kundi hilo akipokea kitita cha Dola37milioni. Neymar pia ana mikataba mbalimbali yote ni hela.