Kinda azikataa Nigeria na England

Muktasari:

  • Hatimaye mshambuliaji chipukizi wa timu Southampton, Michael Obafemi, 18, amekata mzizi wa fitina kwa kuamua kucheza katika timu ya Taifa la Jamhuri ya Ireland badala ya nchi yake ya sili Nigeria na England alikokulia ambako alikuwa akihitajiwa.