Ishu ya majeraha ya Pacome, Aucho iko hivi Wakati mashabiki wa Yanga wakizidi kuwa na presha baada ya kuumia kwa wachezaji wao imefahamika ripoti ya wachezaji hao wawili walioumia kwenye mchezo dhidi ya Azam, kiungo Pacome Zouzoua na beki...