Genk ya Samatta yaambulia sare Ligi ya Europa

Muktasari:

Arsenal imetoka suluhu dhidi ya Sporting CP kwenye dimba lake la Emirates pia  Chelsea imechomoza na ushindi mwembamba baada ya kuilaza Bate Borisov bao 1-0.

Jumla ya mechi 24 ya Ligi ya Europa zimecheza jana usiku huku Arsenal ikitoka suluhu dhidi ya Sporting CP kwenye dimba lake la Emirated pia  Chelsea ikichomoza na ushindi mwembamba baada ya kuilaza Bate Borisov bao 1-0.

Katika mchezo mwingine Kwenye kundi I wenyeji Genk walijkuta wakilazimisha sare dhidi ya Besiktas.

Yafuatayo ni matokeo ya makundi yote mechi zilizopigwa jana Alhamisi usiku.

 

Kundi A

Bayer Leverkusen1 - 0 FC Zuerich

Ludogorets Razgrad 0 - 0 AEK Larnaca

 

Kundi B

Celtic 2 - 1 RasenBallsport Leipzig

Rosenborg 2 - 5 Salzburg

 

Kundi C

Bordeaux 1 - 1 Zenit St. Petersburg

Slavia Prague 0 - 0 Koebenhavn

 

Kundi D

Fenerbahce 2 - 0 Anderlecht

Dinamo Zagreb 3 - 1 Spartak Trnava

 

Kundi E

Arsenal 0 - 0 Sporting CP

Vorskla 0 - 1  Qarabag FK

 

Kundi F

Olympiacos 5 - 1 F91 Dudelange

Real Betis 1 - 1 Milan

 

Kundi G

Rapid Wien 0 - 0 Villarreal

Spartak Moscow 4 - 3 Rangers

 

Kundi  H

Apollon Limassol 2 - 3 Eintracht Frankfurt

Lazio 2 - 1 Marseille

 

Kundi I

Genk 1 - 1 Besiktas

Malmoe FF 1 - 1 Sarpsborg 08

 

Kundi  J

Akhisarspor 2 - 3 Sevilla

FC Krasnodar 2 - 1 Standard Liege

 

Kundi K

FC Astana 2 - 1 Jablonec

Dynamo Kyiv 3 - 1 Rennes

 

Kundi L

BATE Borisov 0 - 1 Chelsea

Vidi FC 1 - 0 PAOK Thessaloniki FC