Himid Mao 'Ninja' aikomalia Petrojet

Muktasari:

Himid Mao ambaye anacheza nafasi ya kiungo, amekuwa tegemeo ndani ya kikosi cha Petrojet  ya nchini Misri tangu alipojiunga mwanzoni mwa msimu huu akitokea Azam FC.