Wednesday, September 13, 2017

Kikosi cha Yanga wapiga misosi hatari Njombe

 

By Gift Macha

Kikosi cha Yanga  kimeendelea kuweka kambi mjini Njombe kabla ya kuifuata Majimaji  kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu wikiendi hii.

Kocha wa Yanga, George Lwandamina aliwafanyisha mazoezi mepesi nyota walioanza dhidi ya Njombe, huku wale waliokuwa benchi wakifanya mazoezi makali.

 Wachezaji hao walionekana kwenye hoteli moja Njombe wakipata chakula cha mchana leo Jumatano.

-->