Mbappe alinusuru Ufaransa kwa Iceland

Muktasari:

  • Juhudi binafsi za mshambuliaji kinda wa Ufaransa Kylian Mbappe jana ziliinusuburu Ufaransa isiadhirike mbele ya Iceland, baada ya kuwa nyuma kwa mabao 2-0 hadi dakika ya 86 kabla ya kinda huyo kupika bao moja na kufunga jingine kuufanya mchezo huo kumalizika kwa sare ya mabao 2-2.