Kikosi cha Yanga kinachoshuka kuimaliza St. Louis

Muktasari:

  • Nyota hao ni Youthe Rostand, Hassan Kessy, Gadiel Michael, Nadir Haroub 'Cannavaro', Kelvin Yondani, Said Juma 'Makapu', Pato Ngonyani, Kabamba Tshishimbi, Pius Buswita, Ibrahim Ajibu na Emannuel Martin.

 Benchi la ufundi la Yanga limeweka hadharani kikosi ambacho kitashuka kwenye mechi dhidi ya St. Louis leo Jumatano.

Nyota hao ni Youthe Rostand, Hassan Kessy, Gadiel Michael, Nadir Haroub 'Cannavaro', Kelvin Yondani, Said Juma 'Makapu', Pato Ngonyani, Kabamba Tshishimbi, Pius Buswita, Ibrahim Ajibu na Emannuel Martin.

Benchi watakuwepo Ramadhan Kabwili, Juma Abdul, Said Musa, Yusuph Mhilu, Rafael Daud, Haji Mwinyi na Geofrey Mwashiuya.

Juma Mahadh ataikosa mechi hiyo baada  ya kuugua ghafla usiku wa kuamkia jana