Rais Samia atazame sanaa, na wasanii wa mikoaniĀ Katika makala ya leo nitaanza tofauti kidogo, nitaanze na wasifu wangu mwenyewe. Nilipanda jukwaani kupiga muziki kwa mara ya kwanza mwaka 1969, nikiwa na wenzangu akina Iddi Mwanahewa, John...