Liverpool, West Ham zafuata njia ya Arsenal, Man City LONDON, ENGLAND. LIVERPOOL na West Ham United zimetolewa katika michuano ya Europa League, baada ya kushindwa kupindua meza katika michezo ya mkondo wa pili. Liverpool ambayo ilichapwa bao 3-0...