CAF yaipa ushindi Berkane, yaitega USM ALGER Shirikisho la Soka Afrika (CAF) hatimaye limefanya uamuzi wa kuipa ushindi RS Berkane baada ya kubaini Wamorocco hao walifanyiwa vitendo sio vya kiungwana na wenyeji wao USM Alger ya Algeria.