Mtatiro, Prof Lipumba hakuniingiza CUF
Wed Sep 07 13:22:37 EAT 2016
Hiki ndicho alichokijibu Mwenyekiti wa Muda wa kamati ya uongozi CUF Julius Mtatito kuhusu majigambo ya aliyekuwa Mwenyekiti wa taifa wa chama hicho Prof Ibrahim Lipumba kwamba yeye ndiye aliyemuingiza katika chama hicho