Paresso ataka uwezeshwaji wa taasisi zinazoanzishwa
Thu Sep 15 19:06:46 EAT 2016
Msikilize hapa Mbunge wa Viti maalum Cecilia Pareso alipokuwa akichangia Muswada wa sharia ya taasisi ya utafiti wa kilimo wa mwaka 2016, pamoja na mambo mengine ametaka kuwezeshwa kwa taasisi hiyo