Mbowe: Msimpe ushirikiano Lipumba
Sat Oct 01 19:31:56 EAT 2016
Mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo na demokrasia amewataka viongozi na makada wa chama hicho wasimpe ushirikiano Prof Ibrahim Lipumba kwakua ni msaliti wa demokrasia.