Jafo ataka kasi ya kutatua kero Dar
Fri Dec 02 16:53:47 EAT 2016
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais - Tamisemi, Suleiman Jafo, leo amezungumza na watumishi wa Serikali wa Jiji la Dar es Salaam pamoja na wale wa Manispaa ya Ilala huku akiwataka kujikita zaidi katika kutatua matatizo yanayowakabili wananchi wa Dar es Saaam