MIAKA 55 YA UHURU: Tutaendeleakupambana na mafisadi
Fri Dec 09 17:19:53 EAT 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli amesema Serikali yake itaendelea na jitihada za kupambana na mafisadi na wala rushwa kwa lengo la kutengeneza mazingira bora yatakayowafanya watanzania wanyonge wajisikie furaha katika nchi yao wenyewe