SERIKALI YAKAMILISHA UHAKIKI MIFUKO YA JAMII
Fri Mar 24 14:36:49 EAT 2017
Waziri wa Fedha Dk Phillip Mpango amesema serikali ipo katika hatua ya mwisho kuhakiki madeni yatokanayo na mifuko ya hifadhi za jamii ambayo yamegubikwa na ujanja ujanja mwingi.