
| Tangaza | Send to a friend |
| Tuesday, 26 January 2010 14:20 |
Tangaza na Mwananchi Mwananchi ni gazeti linaloongozaTanzania. Ni gazzeti la kila siku ambalo linasambwazwa kwenye mikoa yote mikubwa ya Tanzania bara na visiwani. Ndiyo gazeti linaloongoza kwa kusomwa na watu wengi hapa Tanzania, likiwapita wapinzani wake kwa mbali sana. Gazeti la Mwananchi linamiliki asilimia zaidi ya 47 ya soko la wasomaji wa magazeti ya Kiswahili Tanzania, mpizani wa karibu akiwa anashikilia chini ya asilimia 21. Kwahiyo, ukitangaza na Mwananchi una uhakika wa kufikia Watanzania wengi zaidi. Pia tovuti ya mwananchi (mwananchi.co.tz) inapokea zaidi ya wageni elfu kumi kila siku. Ikiwa inapokea zaidi ya wageni 300,000 kwa mwezi. Hii pia ni sehemu nzuri ya kutangaza biashara yako ukizingatia kwamba watu wengi sasa wanatumia mtandao kila siku. KUJUA BEI ZETU ZA MATANGAZO WASILIANA NASI KUPITIA UKURASA WA MAWASILIANO (CONTACTS) |
| Last Updated on Wednesday, 01 June 2011 11:25 |



Advertise with Us









