
| Wakenya mbaroni wakituhumiwa kuiba NBC | Send to a friend |
| Tuesday, 08 November 2011 09:30 |
|
Hadija Jumanne Washtakiwa hao Pius Kiroko (46) na Edward Kimata(48), wote wanakabiliwa na shtaka hilo wanalodaiwa kutenda Benki ya NBC tawi la Kichwele, Dar es Salaam. Mwendesha Mashtaka Wakili wa Serikali, Credo Rugaju, alidai mahakamani hapo kuwa washtakiwa walitenda kosa hilo Oktoba 31, mwaka huu katika benki hiyo mkabala na mtaa wa Kisutu. Rugaju alidai siku ya tukio saa 6:40 mchaka, washtakiwa wanadaiwa kuiba Sh2.5 milioni kutoka kwa Hemed Jafary. |
| Last Updated on Tuesday, 08 November 2011 17:33 |















Comments
I'm still laughing since morning. pooresting! hahahaha dude! prison them!