MwanzoContactsEmail
Home
BOOKMARK THIS PAGE
Mkama, Kinana watajwa kubeba jahazi la CCM  Send to a friend
Sunday, 10 April 2011 23:51

Midraji Ibrahim, Dodoma
SIKU moja baada ya Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kujiuzulu pamoja na sekretarieti yake, baadhi ya makada wa chama hicho tawala wanatajwa kujaza nafasi za utendaji.

Taarifa kutoka ndani ya kikao cha Halmashauri Kuu jana usiku mjini hapa zilidai kuwa Wilson Mkama ndiye aliyepewa jukumu la Ukatibu Mkuu wa CCM huku msaidizi wake kwa upande wa Bara akitajwa kuwa ni Abdulrahman Kinana, Katibu wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, Katibu wa Fedha na Uchumi, Zakia Meghji na Katibu wa Oganaizesheni, Dk Rehema Nchimbi.

Kuhusu Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, inadaiwa kuwa Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete aliwasilisha jina la Saleh Ramadhan Feruzi, lakini lilikataliwa na wajumbe kutoka visiwani.

Sekretarieti iliyojiuzulu ilikuwa inaundwa na Katibu Mkuu wa CCM, Yusuf Makamba, Naibu Makatibu Wakuu bara na visiwani; George Mkuchika na Feruzi, Katibu wa Itikadi na Uenezi, John Chiligati, Katibu wa Fedha na Uchumi, Amos Makala,Katibu wa Oganaizesheni, Kidawa Saleh na Mambo ya Nje, Bernard Membe.

Mkama akishirikiana na Profesa aliyefahamika kwa jina moja la Luhanjo, ndiyo waliofanya tathmini ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana na kupendekeza kwamba lazima baadhi ya wanachama watoswe kuokoa chama hicho.
Inadaiwa kuwa miongoni mwa ajenda za kikao hicho ni kujivua gamba ambayo hatua ya kujiuzulu kwa sekretarieti na kamati kuu ni utekelezaji wake.

Inadaiwa kwamba kujiuzulu kwa Kamati Kuu kulitokana na mvutano wa wajumbe ambao walionyesha kugawanyika, huku kundi moja likitaka Mbunge wa Igunga na Mjumbe wa CC, Rostam Aziz, Mbunge wa Bariadi Mashariki na mjumbe wa kamati hiyo, Andrew Chenge wajiuzulu na jingine likipinga.

Baada ya mvutano mkali wa wajumbe hao na kuchukua muda mrefu, inadaiwa Rais Kikwete aliilazimisha kamati nzima kujiuzulu.Awali, ilidaiwa kuwa ajenda hiyo ya kuwataka wajumbe hao wawili wajiuzulu ingewasilishwa kwenye kikao cha Halmashauri Kuu, huku kundi linalodaiwa kupinga ufisadi likitaka wafukuzwe uanachama.

WanaCCM Dodoma wachekelea
Katika hatua nyingine, kujiuzulu kwa Sekretarieti na Kamati Kuu ya CCM kumeonekana kuwakuna baadhi ya wananchi na wafanyakazi wa chama hicho hasa wale wa Makao Makuu, Dodoma.Baadhi ya wafanyakazi hao na wananchi wakiwa kwenye makundi, walikuwa wakijadili hatua na kupongeza uamuzi huo na kwamba, hivi sasa chama hicho kimeamua.

“Tunaomba waandishi msituzibe tunataka kuwaona viongozi wetu, maana leo siyo sura tulizozoea wamejivua gamba,” walisikika wafanyakazi hao wakati Mwenyekiti wa CCM, Rais Kikwete alipokuwa akiingia kufungua mkutano wa Halmashauri Kuu.Tofauti na kawaida yake ya misemo na uchekeshaji, sura ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM, Yusuf Makamba ilionekana ya upole wakati akimkaribisha Rais Kikwete.

Add this page to your favorite Social Bookmarking websites
Reddit! Del.icio.us! Mixx! Free and Open Source Software News Google! Live! Facebook! StumbleUpon! TwitThis Joomla Free PHP
Last Updated on Tuesday, 12 April 2011 07:38
 
Comments 

0 #90 2011-04-12 08:52
ccm kazi mnayo mpaka2015? mbio za sakafunizinajul ikana mwisho wake kwa hiyo msijali.tunawasubiri kwani aliyejuu hungojewa chini ashuke.makamba kukosa busara kwako na kauli za ujeuri wenzio wamekuona na hiyo ndiyo dawa yako, na wengine wajifunze kutoka kwako.
Quote
 
0 #89 2011-04-12 04:54
Quoting muhondo:
Quoting Beano:
Quoting irene:
kwa hili CCM hongera. nyie chadema watu wamefanya mageuzi katika chama chao nyie inawahusu nin? mmeanza kupata wasiwasi. Fanyeni mambo yenu achaneni na CCM chama kubwa chama kongwe

wewe irene wanakulaumu bure binti yangu CHAKUPEWA. Wasamehe hawa hawajui kula yako unaipata kwenye upambe wa CCM hasa unapovaa kibwebwe kukatika ktk gari la wazi wkt wa kampeni kwa ujira wa t-shirt, kofia na kanga bila kusahau buku 2 na chupa ya maji uhai. Kwa ulivyo [NENO BAYA] unajiona mmoja kati ya wanaokula mema ya nchi na ndio maana unatetea ulichonacho poor you!! Ungekuwa na akili ningekusema sana kwa kosa la kutokuzitumia lkn kwa hali ilivyo juu ya nini nikulaumu mkataviuno wa chama usiejua haki zako? Ila kumbuka kuna umri utafikia dada yangu irene hutaweza tena kukatika na chama hakitoi pensheni kwa vilaza wa aina yako. Itafute elimu dada yetu irene ili ubongo wako uendane na jina lako zuri japo sura yako mbaya

wewe unayejiita beano fingerprints hapa zinaonesha kuwa mtu yeyete akitoa maoni yanayopinga chadema unayapinga ukitumia majina tofauti. Je wewe unapata ni envelopmentaljo nalist (umepata bahasha) au developmental jonalistst?
Tunakuchora tu haha.
Quote
 
0 #88 2011-04-12 04:49
Quoting Beano:
Quoting irene:
kwa hili CCM hongera. nyie chadema watu wamefanya mageuzi katika chama chao nyie inawahusu nin? mmeanza kupata wasiwasi. Fanyeni mambo yenu achaneni na CCM chama kubwa chama kongwe

wewe irene wanakulaumu bure binti yangu CHAKUPEWA. Wasamehe hawa hawajui kula yako unaipata kwenye upambe wa CCM hasa unapovaa kibwebwe kukatika ktk gari la wazi wkt wa kampeni kwa ujira wa t-shirt, kofia na kanga bila kusahau buku 2 na chupa ya maji uhai. Kwa ulivyo [NENO BAYA] unajiona mmoja kati ya wanaokula mema ya nchi na ndio maana unatetea ulichonacho poor you!! Ungekuwa na akili ningekusema sana kwa kosa la kutokuzitumia lkn kwa hali ilivyo juu ya nini nikulaumu mkataviuno wa chama usiejua haki zako? Ila kumbuka kuna umri utafikia dada yangu irene hutaweza tena kukatika na chama hakitoi pensheni kwa vilaza wa aina yako. Itafute elimu dada yetu irene ili ubongo wako uendane na jina lako zuri japo sura yako mbaya
Quote
 
0 #87 2011-04-11 22:27
Good to learn these changes. Now, bullet power and bombs must come to an end Mr. President Kikwete!
Quote
 
-5 #86 2011-04-11 21:37
Quoting sure:
Kashfa za nini?Mtake msitake CCM chama tawala,Kikwete rais wa nchi.Hayo ni mabadiliko ndani ya chama,na yanaweza kufanywa na chama chochote.Nyie CHADEMA Mmesahau zengwe mlilomfanyia Zitto Kabwe?Mmesahau zengwe alilofanyiwa mwenyekiti wa bavita?Pia Mwenyekiti wenu wa Mbeya mambo yamemshinda ameamua kurudi nyumbani ama kweli nyani haoni [NENO BAYA]le

sasa zito wa kwenu ccm mmemtuma, tumemsthukia mnaanza bifu....tulia wewe tumenye gamba kilainiiiiiii....
Quote
 
-2 #85 2011-04-11 21:13
Quoting irene:
kwa hili CCM hongera. nyie chadema watu wamefanya mageuzi katika chama chao nyie inawahusu nin? mmeanza kupata wasiwasi. Fanyeni mambo yenu achaneni na CCM chama kubwa chama kongwe

wewe irene wanakulaumu bure binti yangu CHAKUPEWA. Wasamehe hawa hawajui kula yako unaipata kwenye upambe wa CCM hasa unapovaa kibwebwe kukatika ktk gari la wazi wkt wa kampeni kwa ujira wa t-shirt, kofia na kanga bila kusahau buku 2 na chupa ya maji uhai. Kwa ulivyo [NENO BAYA] unajiona mmoja kati ya wanaokula mema ya nchi na ndio maana unatetea ulichonacho poor you!! Ungekuwa na akili ningekusema sana kwa kosa la kutokuzitumia lkn kwa hali ilivyo juu ya nini nikulaumu mkataviuno wa chama usiejua haki zako? Ila kumbuka kuna umri utafikia dada yangu irene hutaweza tena kukatika na chama hakitoi pensheni kwa vilaza wa aina yako. Itafute elimu dada yetu irene ili ubongo wako uendane na jina lako zuri japo sura yako mbaya
Quote
 
+5 #84 2011-04-11 21:03
CHANGING THE FACE WILL CHANGE NOTHING, BUT FACING THE CHANGE WILL CHANGE ALMOST EVERYTHING! CCM acheni kujidanganya na kutudanganya pia. Kabla ya msukosuko wa kuamshwa na CHADEMA hao waropokaji wenu walikuwa lulu, leo mnawatoa kafara nusu na nusu bado mnatuachia tuendelee kuumia nayo, watoeni na serikalini huko ndio wanatuumiza wananchi zaidi ya walivyotishia ulaji wenu chamani. Na mbona mifisadi mingine ya RICHMOND, EPA, DOWANS, MERERMETA, KAGODA N.K bado ipo? Mi nilifikiri mnaivua hata uanachama kumbe ni sehemu tu ya blah blah zenu za kila siku. Zidumu fikra fukara za mwenyekiti wa chama!!!!!!!!!! !!!
Quote
 
0 #83 2011-04-11 20:20
Nyie mnaokadhania nyerere ndio pumba kweli, Nyerere ndio kaharibu toka mwanzo zaidi ya miaka 20 madarakani, lakini cha maana alichokifanya hakuna zaidi ya kutuwekea Kiswahili na Kupigana vita Uganda, Ujamaa wenyewe ulimshinda. Kiongozi wa ukweli alikuwa Sokoine, saluti kwake
Quote
 
+6 #82 2011-04-11 20:09
Katika nyoka cha hatari ni sumu na siyo gamba. CCM wamevua gamba na sumu je? ndani ya CCM tatizo ni system imeoza na sio mtu mmoja ndio maana wanavitisho vingi sana mtaani mf. mfanyabiashara akizungumzia jambo wanafuata biashara yake, mfanyakazi akiongea wanafuata ajira yake, mkulima akinena wanafuata ardhi na mali zake pamoja kwa nguvu ya dola. je hiki ni chama cha ukweli, tafakari!
Quote
 
+1 #81 2011-04-11 17:30
Quoting james:
Quoting resu:
HONGERA CCM.VYAMA VINGINE INABIDI VIIGE MFANO HUU.KWA SABABU VYAMA HIVYO KAMA CHADEMA VINAONGOZWA KI UKOO.HUMO WAMEJAA WAKWE,WACHUMBA, WAJOMBA,WAKE WENZA NK NK.IGENI MFANO BORA WA CCM.

umeona wakwe wa chadema tuu? zakia sio mkwe? mwema si shemeji, membe je? vipi kuhusu Kawambwa hapo, na n.waziri, hawa ghasia je? ukija wakuu wa wilaya ndo basitenaaa... usiropoke tu... ma 5thlady jee timu ya mpira

bora umwambie anakurupuka tuu na kuongea utumbo
Quote
 
+6 #80 2011-04-11 17:28
Quoting mdau:
Quoting Freedom Fighter:
Hayo yote ndio madhara ya kutosikia ya wakubwa. kwani mlifikiri Mwl. Nyerere kwenye hotuba zake alikuwa anafanya comedy? Yule mzee alikuwa na vision na alikuwa nawajua vizuri hawa wote mnaowaona wanayumbayumba mpaka chama kimewashinda sasa.

Nyerere alisema huyu bado mdogo hatufai, lakini kwa ufinyu wa kufiria mambo tukadhani anaongelea miaka ya huyu jamaa yenu M/kiti wa CCM. Alikuwa anamaanisha kwamba uwezo wake katika madaraka mnayotaka kumpa ni mdogo hataweza kuingoza nchii kubwa na iliyojaa matatizo.

Kwani M/kiti wa CCM (wa sasa) alipokuwa anachua fomu ya kuwania kuteliwa kugombea wa urais mwaka 1995 alikuwa na miaka mingapi? Julize! Kama ungekuwa na umri mdogo angeruhusiwa hata kuchukua form?

CCM na nchi yetu ipo hapa ilipo siyo kwa sababu ya mtu mwingine yeyote bali kubali au kataa ni kwa sababu ya m/kiti wa CCM!

Tafakari! Tusitafute mchawi kufanya hivyo ni kupoteza muda!

UPO SAHIHI KABISA 100% NDUGU YANGU NA NDO ILIKUWA AJENDA YA KIKAO MH AACHIENGAZI NAFASI YA M/KITI MAJUKUMU MENGI KAZI ZA MSHINDA NA MABEST WALE WANAONUKA WATOKE HARUFU KALI YA UFISADI IPUNGUE, KAWAGEUZIA KIBAO... KUNJWA KWA HIYO BILA KUWAONDOA MAFISADI (ROSTIAM....) THE WORK DONE IZ EQUAL TO ZEROO

FOR SURE MAN U'R VERY OK NOTHING TO EXPECTFROM THESE NEW TOP LEADERS BUT THEY WILL CONTINUE DOING COMEDIAN ISSUES AS MAKAMBA USED TO DO WITH HIS ASOCIATE TOP LEADERS
Quote
 
+6 #79 2011-04-11 16:49
hapa naona Rostam na wenzake wamwshinda! Hoja ilikuwa kwao lakini somehow they are still breathing! Let watch the next move! Utauona usaniii unavyo take over!

Yetu macho!!!
Quote
 
0 #78 2011-04-11 16:47
Naona angalau jua limewaka ndani ya chama cha c.c.m ila bado wanakazi ya kukijenga upya kwani bado mafisadi wamo ndani yake wanabebwa tu, ila kidogo kwa hilo tunawapa heko, na ninyi mwananchi muwe mnaweka maoni yetu hewani bila hofu iwapo tumesema mambo ya kweli bila kuathiri tamaduni na itikadi za kitanzania, tatizo mkiona maoni yanamwelekeo wa kuwasemea ukweli watu flani mnaacha kuyaweka hewani, wakati hatujakiuka maadili. Big Up sana.
Quote
 
-12 #77 2011-04-11 16:10
kwa hili CCM hongera. nyie chadema watu wamefanya mageuzi katika chama chao nyie inawahusu nin? mmeanza kupata wasiwasi. Fanyeni mambo yenu achaneni na CCM chama kubwa chama kongwe
Quote
 
+10 #76 2011-04-11 16:07
Nyoka akivua gamba anakua nani? Naamin nyoka akijivua gamba hawezi kua kenge,hakuna jipya wote walewale,ccm inakufa jamani.
Quote
 
Add comment

Tumia jukwaa ili kutoa maoni ambayo yatasaidia kulijenga taifa letu. Kumbuka, maoni yako yatapitiwa kwanza kabla hayajarushwa hewani!!!!!!

Banner
Banner