MwanzoContactsEmail
Home
BOOKMARK THIS PAGE
Kada CCM atamani upinzani ushinde 2015  Send to a friend
Thursday, 13 October 2011 20:40

AWAMWAGIA MAMILIONI YA MSAADA CHADEMA, ASIFU MSIMAMO WA DK SLAA
Geofrey Nyang’oro
KADA wa CCM, Mustafa Sabodo ameahidi kuchimba visima 200 katika majimbo yote ya wabunge wa Chadema nchini, huku akieleza kuwa angependa kuona upinzani unachukua nchi mwaka 2015.Sabodo ambaye ni kada wa CCM tangu enzi za Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyarere, alitoa kauli hiyo jana alipokuwa akipokea mpango wa uchimbaji visima hivyo kutoka kwa Katibu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa.Kauli hiyo ya Sabodo ambaye tayari katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana aliisaidia Chadema Sh100 milioni za kampeni, imekuja kipindi ambacho CCM, inakabiliwa na mpasuko kutokana na siasa za makundi.

Wakati CCM ikikabiliwa na kipindi hicho kigumu kisiasa, jana Sabodo ambaye aliahidi kuendelea kukisaidia Chadema, alisema “Ningependa kuona upinzani ukichukua nchi mwaka 2015”.

Jana Saa 4:00 asubuhi, Dk Slaa akiongozana na Mkurugenzi wa Mambo ya  Bunge wa Chadema, John Mrema walifika nyumbani kwa Sabodo kwa  lengo la kukabidhi mchakato wa utekelezaji wa mradi huo wa visima na pia kumshukuru kada huyo wa CCM  kwa misaada yake kwa chama hicho.

Katika mazungumzo hayo, Sabodo alimhakikishia Dk Slaa kwamba ataendelea kusaidia chama hicho katika miradi mbalimbali, inayohusu wananchi hususani suala la maji na elimu.

Sabodo alisema  elimu ni muhimu katika maisha ya binadamu, lakini maji pia ni uhai, kwakuwa bila maji hakuna mtu anayeweza kufanya chochote.

Mradi wa Sh2.5 bilioni
Sabodo alisema ametenga Sh2.5 bilioni kwa ajili ya kuchimba visima vya maji virefu na vifupi 700 katika maeneo yenye ukame,  huku visima 200 kati ya hivyo vikielekezwa katika majimbo 23 wanakotoka wabunge wa Chadema na Jimbo la Igunga. Chadema kina jumla ya wabunge 48 na 25 kati yao ni wa Viti Maalum.

Alifafanua kwamba anatoa msaada wa maji kwa sababu anatambua umuhimu wa huduma hiyo kwa jamii huku akisisitiza kwamba maji siyo anasa bali ni hitaji la  lazima.

Kuhusu sababu ya kujenga urafiki na Dk Slaa Sabodo alisema: “Mimi siyo kwamba navutiwa na wewe Dk Slaa hata nikaona umuhimu wa kutoa msaada kwa Chadema, ninavutiwa na Principle (Kanuni) zako na chama chako,”alisema Sabodo.

Michango hiyo ya Sabodo kwa Chadema iliwahi kuibua manung'uniko kwa baadhi ya makada wa CCM, lakini aliyekuwa Katibu Mkuu, Yusuph Makamba, aliwahi kuliambia gazeti hili kwamba, "Siyo vibaya Mkristo kumsaidia Mwislam, ndiyo ubinadamu," hivyo haoni tatizo kwa Sabodo kusaidia upinzani.

Dk Slaa anena
Kwa upande wake, Dk Slaa alisema chama hicho  kinatarajia kuchimba visima vya maji 11 katika Wilaya ya Igunga mkoani Tabora ikiwa ni wiki takriban mbili tangu kumalizika kwa uchaguzi mdogo wa jimbo hilo uliofanyika Oktoba 2.

Dk Slaa alitoa kauli hiyo muda mfupi baada ya kukabidhi mchanganuo wa namna walivyogawa mradi wa utekelezaji wa visima 200, vilivyotolewa na Sabodo   kwa lengo la kuchimbwa katika majimbo tofuati wanakotoka wabunge wa Chadema.

Alisema lengo la kutekeleza mradi huo wa maji katika Jimbo la Igunga limetokana na  ziara aliyoifanya katika vijiji 98, vilivyopo katika jimbo hilo na kugundua wananchi wake wanakabiliwa na tatizo kubwa la maji.

“Katika mpango kazi wetu, tumepanga kuchimba visima 11 katika Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, hii  imetokana na ziara yangu katika vijiji 98 ambapo niligundua kuwa wakazi hao wanakabiliwa na  tatizo kubwa la maji,”alifafanua Dk Slaa.

Chadema kilishika nafasi ya pili katika uchaguzi mdogo wa jimbo hilo, kwa aliyekuwa mgombea wake, Joseph Kashindye kupata kura 23,260 sawa na asilimia 44.3, nyuma ya mgombea wa CCM, Dalaly Kafumu aliyeshinda kwa kura 26,484 kati ya 52,487 halali zilizopigwa, sawa na asilimia 50.4.

Dk Slaa alimshukuru Sabodo kwa msaada wake wa kukusudia kuchimba visima vya maji katika maeneo mbalimbali nchini, yanayokabiliwa na uhaba akisema kitendo hicho ni cha utu kwa kuwa maji ni uhai.

“Nitoe shukrani kwa niaba ya wabunge ninaowawakilisha kufuatuia msaada wako wa kukusudia kuchimba  visima   200 vya maji katika majimbo yao, ni maelfu ya watu watanufaika na msaada huu,”alisema Dk Slaa na kuongeza:,

“Sisi tumekuja kukushukuru kwa niaba ya wabunge wetu na wananchi, lakini pia wabunge wangu watakuja mmoja mmoja kukushukru wewe ni baba yao. Ushindi walioupata ulitokana pia na msaada wako mkubwa wa kifedha wakati wa kampeni,”alisema Dk Slaa.

Kwa upande wake, mchumba wa Dk Slaa, Mushumbushi, alishukuru msaada huo wa maji kutoka kwa Sabodo akisema utawasaidia wanawake na watoto.

“Watu wanaopatwana athari nyingi kutokana na tatizo la maji ni wanawake na watoto, ni wanawake ndio hupatwa na matatizo ya kubakwa wanapokwenda umbali mrefu kuteka maji. Pia ukame wa maji umevunja hata baadhi ya ndoa,”alisema Mushumbushi.

Wamzungumzia Nyerere
Akizungumzia kumbukumbu ya kifo cha baba wa taifa Mwalimu Nyerere, Sabodo alisema kwa miaka 12 Taifa limeshuhudia maadui wa taifa wakiongezeka.“Baba wa taifa aliacha maadui wakuu watatu, ujinga, mardhi na umasikini. Lakini sasa badala ya kupungua, wameongezeka wawili na kufanya idadi hiyo kuwa watano,”alisema Sabodo.

Sabodo aliwataja maadui hao wapya kuwa ni wizi wa mali za umma wanaotokana na  mmomonyoko wa maadili pamoja na    ufisadi.

Katika mazungumzo yake, Sabodo hakusita kueleza kuwa hali ya sasa ya uadilifu kwa viongozi imeshuka kwa kiwango kikubwa na kusisitiza kwamba, vitendo hivyo ndivyo vinavyoliangamiza taifa.

Kwa upande wake, Dk Slaa alisema kumbukumbu ya kifo cha Mwalimu Nyerere inaadhimishwa kwa utani kutokana na viongozi wengi wakiwemo wenye mamlaka kushindwa kufuata maadili ya mwasisi huyo  wa taifa.

Alisema kumbukumbu ya kifo cha Mwalimu Nyerere haipaswi kusherehekewa kama siku ya shamrashamra  na badala yake, kwa kufuata maadili na msingi aliyosimamia.

Add this page to your favorite Social Bookmarking websites
Reddit! Del.icio.us! Mixx! Free and Open Source Software News Google! Live! Facebook! StumbleUpon! TwitThis Joomla Free PHP
Last Updated on Saturday, 15 October 2011 07:24
 
Comments 

0 #115 2011-10-17 11:32
usalama wa taifa si ndio wezi? kwa nini mlishindwa kunyambulisha matumizi ya bilioni 121 kwenye bajeti ya mwaka huu? mnadai matumizi ya kitaifa? ni matumizi gani ya kitaifa kuliko maji na umeme? aibu zenu kwendeni zenu!
Quote
 
0 #114 2011-10-15 06:57
Ninyi nyote mnaobishana na usalama wa taifa hamna hata kazi wala cha kufanya, utabishanaje na kichaa. Nimeamini kuwa nanyi mna kasoro fulani, hivi kweli utapoteza muda wako kubishana na [NENO BAYA]?
Quote
 
-1 #113 2011-10-15 03:54
tumeshinda watake wasitake, CHADEMA is on its way to take over this mess and turn it around. - so move out of the way, and keep your shit out of the way
Quote
 
+1 #112 2011-10-15 00:17
usalama wa taifa ndio walikuwa wanasindikiza pesa za kagoda na EPA kwenda Dodoma kuhonga wajumbe wa ccm wamchague huyu kiongozi dhaifu mzee wa suti, na hapa Tanzania hatuna machine za kufua sasa siajui anazifanyaje! duh aibu jamani!
Quote
 
+1 #111 2011-10-15 00:14
Usalama wa taifa upi? ulioshindwa kulinda maslahi ya nchi unalinda maslahi ya wezi au???? acha zako hizo uslama wa wezi huo utakuwa
Quote
 
0 #110 2011-10-14 23:47
chadema wameonesha ujasiri na uzalendo mkubwa sana kuwahi kutokea katika historia ya vyama vingi katika kupambana na pia kutetea maslahi ya wanyonge.sina mali, lakini kwa waliojaaliwa kuwa na mali basi wachangie chadema ili kukuza harakati za ukombozi
Quote
 
0 #109 2011-10-14 22:57
Unaejiita usalama wa taifa acha kuudhalilisha usalama wa taifa, hivi wew uko kwa niaba ya taifa lipi, maana hata kwa rais hauna msaada yaelekea wewe ni mzigo, wasaidizi wa rais hawamwambii na kumshauri chochote cha ukweli, tuache tusiofungamana na upande wowote tumwabie, usitangulize kupenda kutoa roho za watu je wewe unjua atakae toa roho yako ataipeleka wapi, kuwa muungwana na mstaarabu na muumba wako atakujalia maisha yenye staha na siyo ya kujipendekeza.

Quoting Usalama wa Taifa:
Tumechoka sasa, enough is enough. Wale woote mliochangia FYONGO dhidi ya Rais, chama chake na serekali jana inabidi sasa tuwakabizi maumivu. We know all of you Harieth Muhando, Simpo, The Gunners, Maajar, Twiga aliyeuzwa Oman, Ahmed000, Gottingen, Mnyone, mtoto wa gamba, Mugeta,Rich, Mtambo wa nyuki, Twicethinker, Mnoko makini, Haika, lengai, Mwangosi,Luzuba the great,Anna,Mtab e,Hadija,Chauga ngaJO,Haki,Msem akweli,Estone,S teveSteven na Kibaraka wenu BEANO soon you are going to be fixed up believe me. We are sick and tired about your criticism to the Government and President. There are many good ways you can express your STUPID complaints but not like this. We are going to use all the resources we have to smoke you out from the holes you are hiding and FIX you up. The impact will be devastating. To avoid these, quickly post your apologies in this forum before 10.00 PM 14.10.2011 east african time or else what happen to KO... will happen to you. Mwenye akili nadhani atazingatia haya maagizo. This is a matter of national security. Uvumilivu umetushinda na tumesema Baaaaas!
Quote
 
0 #108 2011-10-14 21:40
Quoting Usalama wa Taifa:
For today let me finish by saying this all those who i mentioned earlier to post their apologies right away before 10.00 PM am sorry time is over prepare your self for masive offensive! You will regret the day you were born. Let me assure you no one will loose his/her precious life because that is not the way of the SYSTEM but you will recieve savere PAIN. Tutawakabidhi maumivu ya aina yake. My wish is to witness BEANO begging for mercy and his unworthy life at a gun point. Let me end by saying this JayKei AND SISIEM ARE MAJOR PAIN IN YOUR AS SES ndiyo maana mna bwabwaja hovyo hovyo. Nawakilisha hoja tafadhalini punguzeni jazba mnapojibu comments za watu ili msije mkawa FIXED UP. You folks u made my day!

dua maalumu kwa ajili yako...
ee baba wa Taifa hili namuombea rehema za dhati kwa marehemu usalama wa taifa ooh no...ndugu yetu usalama wa taifa ili azidi kugawa tigo kwa ma[NENO BAYA] wenzie na waendelee kumtumia usiku kucha hadi kieleweke...ni ktk uweza wako wa kupigania taifa letu dhidi ya hawa wanyonyaji,uwaa ngamize wote ili kuepusha hasira za wanao waliochoka kudhulumiwa na kukandamizwa...ameeen
kanyonye m b o o mtoto mzuri ulale ee..
Quote
 
0 #107 2011-10-14 21:31
Quoting Usalama wa Taifa:
Kama unataka biashara yako ya MATUNDA iendelee Omba msamaha haraka sana kwenye hii FORUMQuoting chesco:
me huwa nafurahi sana ninapotembelea mitandao ya kijamii....tena nacheka sana...u no why?coz kuna watu wanatumwa humu ndani kupoteza malengo ya mjadala wa mada husika na kuleta [NENO BAYA] na vitisho...just angalia heading/content ya gazeti then angalia comments za wabongo kisha linganisha...wajameni wote tuna uchungu na nchi yetu na tunajua kuwa matatizo mengi chanzo ni wanasiasa.mfano mzuri ni issue ya richmond/dowans. hapa tunakutana na makundi mawili ya wanasiasa. wapo wale waliotuingiza kwenye huu mkataba feki kwa kutumia udhaifu wa sheria zetu zinazoruhusu mtu mmoja kusaini mkataba kwa niaba ya watanzani zaidi ya milioni 45 akiwa kawekwa mapajani huko geneva na ikakubalika coz yeye ni waziri wa wizara husika. lakini wapo pia ndugu zetu ambao walitambua kuwa ule ulikuwa mkataba halali kisheria(japo ni wa kifisadi) wakashinikiza uvunjwe bila kufuata sheria wakijua kabisa baadaye itatokea issue ya kulipa fidia then waje wapinge fidia kujitafutia umaarufu wa kisiasa. kitu kinachoniumiza sana moyo wangu na kunifanya nisononeke kwa ajili ya nchi yangu ni kuwa watanzania wengi tumekubali kucheza pamoja na kundi la pili ambalo linatumia ipasavyo udhaifu wa rais wetu ambaye kiukweli kabisa hana sifa ya kuwa pale alipo na kuiingiza nchi kwenye migongano ya kimaslahi. tunaona nchi sasa inaongozwa kwa matukio.. yaani serikali inasubiri hadi wapinzani waibue hot issue then wao ndo wanakurupuka kufanya maamuzi bila kuzingatia outcomes au effects zake baadaye.mimi ninawaomba kwa moyo wa mapenzi kwa nchi yangu slaa,sita na wale wote walijiita wapambanaji wa ufisadi watoke mafichoni waje watuthibitishie kuwa hawakujua kuwa mkataba wa richmond/dowans ulikuwa halali kisheria japo ulikuwa ni wa kifisadi na kwamba kwa yeyote ambaye angeuvunja alipaswa kulipa fidia. otherwise nitaamini walijua mchezo mzima(outcomes) na walifanya makusudi kwa maslahi yao ya kisiasa. bunge lilikuwa na uwezo wa kushinikiza (kwa sapoti ya wananchi) wale wote waliohusika kutuingiza kwenye ule mkataba wafilisiwe na kufikishwa mahakamani badala ya kile walichokifanya.ninasikitika kuona bunge linatunga sheria ambazo zinasimamiwa na mahakama kutoa hukumu then wanakuja kuwahamasisha wananchi wapinge hizo hukumu ili kufanya muhimili huu(mahakama) usiaminiwe ktk jamii.haitoshi kusema kuwa ule mkataba ulivunjwa coz ulikuwa ni wa kifisadi.swali ni je,ulikuwepo kisheria,kwa sheria zilizotungwa na bunge?je waliosaini ule mkataba(hata kama ni kwa kushinikizwa) wanatambulika kisheria kwa mamlaka waliyonayo?je kuna uwezekano wa kujitoa kwa njia ya sheria halali za nchi kupitia mahakama?....vijana wenzangu...ni hadi hapo tutakapotambua kuwa hakuna mwenye uchungu kwa nchi yetu zaidi yetu sisi wenyewe na kuacha ndoto za kuamini kuwa wapo wateule wachache ambao tukiwakabidhi madaraka ndio tutatoka kwenye matatizo yanayotukabili....ndipo tutaposalimika....
nyc evening

ok then...kwanza nawaombea msamaha baba na mama yako kukuzaa [NENO BAYA] kama wewe ktk nchi yenye neema na bora maisha kama Tanzania...second nawaombea msamaha watanzania wenzangu kwa kumchagua huyo [NENO BAYA] mwenzio kuongoza nchi hii ya bora kasi..kisha nawaombea msamaha pia watanzania wenzangu kwa kuendelea kuwavumilia watoto wazuri kama wewe wanaoliwa hapa mjini na kuleta laana kwa wengine...and finally najiombea msamaha mweyewe kwa kupoteza muda wangu kukujibu wewe chakula......
Quote
 
-2 #106 2011-10-14 20:17
For today let me finish by saying this all those who i mentioned earlier to post their apologies right away before 10.00 PM am sorry time is over prepare your self for masive offensive! You will regret the day you were born. Let me assure you no one will loose his/her precious life because that is not the way of the SYSTEM but you will recieve savere PAIN. Tutawakabidhi maumivu ya aina yake. My wish is to witness BEANO begging for mercy and his unworthy life at a gun point. Let me end by saying this JayKei AND SISIEM ARE MAJOR PAIN IN YOUR AS SES ndiyo maana mna bwabwaja hovyo hovyo. Nawakilisha hoja tafadhalini punguzeni jazba mnapojibu comments za watu ili msije mkawa FIXED UP. You folks u made my day!
Quote
 
0 #105 2011-10-14 19:54
You've got every reason to be FIXED up!Quoting NDIO:
Ok he want us to apologize. - fine let me apologize, first i apologize for saying all nasty things about you. second i want to apologize for Tanzanian to select ass hole president like him, third i want apologize for all idiots who voted for him in last election - because now they barking like dogs about dowans, electric, Richmond , meremeta, and so on, if they had elect Slaa today we will be talking a different ball game. so my apologize is send to you with sincerely to you that you keep your stupid ass on our way next election.
Quote
 
0 #104 2011-10-14 19:49
Kama unataka biashara yako ya MATUNDA iendelee Omba msamaha haraka sana kwenye hii FORUMQuoting chesco:
me huwa nafurahi sana ninapotembelea mitandao ya kijamii....tena nacheka sana...u no why?coz kuna watu wanatumwa humu ndani kupoteza malengo ya mjadala wa mada husika na kuleta [NENO BAYA] na vitisho...just angalia heading/content ya gazeti then angalia comments za wabongo kisha linganisha...wajameni wote tuna uchungu na nchi yetu na tunajua kuwa matatizo mengi chanzo ni wanasiasa.mfano mzuri ni issue ya richmond/dowans. hapa tunakutana na makundi mawili ya wanasiasa. wapo wale waliotuingiza kwenye huu mkataba feki kwa kutumia udhaifu wa sheria zetu zinazoruhusu mtu mmoja kusaini mkataba kwa niaba ya watanzani zaidi ya milioni 45 akiwa kawekwa mapajani huko geneva na ikakubalika coz yeye ni waziri wa wizara husika. lakini wapo pia ndugu zetu ambao walitambua kuwa ule ulikuwa mkataba halali kisheria(japo ni wa kifisadi) wakashinikiza uvunjwe bila kufuata sheria wakijua kabisa baadaye itatokea issue ya kulipa fidia then waje wapinge fidia kujitafutia umaarufu wa kisiasa. kitu kinachoniumiza sana moyo wangu na kunifanya nisononeke kwa ajili ya nchi yangu ni kuwa watanzania wengi tumekubali kucheza pamoja na kundi la pili ambalo linatumia ipasavyo udhaifu wa rais wetu ambaye kiukweli kabisa hana sifa ya kuwa pale alipo na kuiingiza nchi kwenye migongano ya kimaslahi. tunaona nchi sasa inaongozwa kwa matukio.. yaani serikali inasubiri hadi wapinzani waibue hot issue then wao ndo wanakurupuka kufanya maamuzi bila kuzingatia outcomes au effects zake baadaye.mimi ninawaomba kwa moyo wa mapenzi kwa nchi yangu slaa,sita na wale wote walijiita wapambanaji wa ufisadi watoke mafichoni waje watuthibitishie kuwa hawakujua kuwa mkataba wa richmond/dowans ulikuwa halali kisheria japo ulikuwa ni wa kifisadi na kwamba kwa yeyote ambaye angeuvunja alipaswa kulipa fidia. otherwise nitaamini walijua mchezo mzima(outcomes) na walifanya makusudi kwa maslahi yao ya kisiasa. bunge lilikuwa na uwezo wa kushinikiza (kwa sapoti ya wananchi) wale wote waliohusika kutuingiza kwenye ule mkataba wafilisiwe na kufikishwa mahakamani badala ya kile walichokifanya.ninasikitika kuona bunge linatunga sheria ambazo zinasimamiwa na mahakama kutoa hukumu then wanakuja kuwahamasisha wananchi wapinge hizo hukumu ili kufanya muhimili huu(mahakama) usiaminiwe ktk jamii.haitoshi kusema kuwa ule mkataba ulivunjwa coz ulikuwa ni wa kifisadi.swali ni je,ulikuwepo kisheria,kwa sheria zilizotungwa na bunge?je waliosaini ule mkataba(hata kama ni kwa kushinikizwa) wanatambulika kisheria kwa mamlaka waliyonayo?je kuna uwezekano wa kujitoa kwa njia ya sheria halali za nchi kupitia mahakama?....vijana wenzangu...ni hadi hapo tutakapotambua kuwa hakuna mwenye uchungu kwa nchi yetu zaidi yetu sisi wenyewe na kuacha ndoto za kuamini kuwa wapo wateule wachache ambao tukiwakabidhi madaraka ndio tutatoka kwenye matatizo yanayotukabili....ndipo tutaposalimika....
nyc evening
Quote
 
0 #103 2011-10-14 19:46
Ok he want us to apologize. - fine let me apologize, first i apologize for saying all nasty things about you. second i want to apologize for Tanzanian to select ass hole president like him, third i want apologize for all idiots who voted for him in last election - because now they barking like dogs about dowans, electric, Richmond , meremeta, and so on, if they had elect Slaa today we will be talking a different ball game. so my apologize is send to you with sincerely to you that you keep your stupid ass on our way next election.
Quote
 
0 #102 2011-10-14 19:45
Kama unataka biashara yako ya MATUNDA Omba msamaha haraka sana kwenye hii FORUMQuoting chesco:
me huwa nafurahi sana ninapotembelea mitandao ya kijamii....tena nacheka sana...u no why?coz kuna watu wanatumwa humu ndani kupoteza malengo ya mjadala wa mada husika na kuleta [NENO BAYA] na vitisho...just angalia heading/content ya gazeti then angalia comments za wabongo kisha linganisha...wajameni wote tuna uchungu na nchi yetu na tunajua kuwa matatizo mengi chanzo ni wanasiasa.mfano mzuri ni issue ya richmond/dowans. hapa tunakutana na makundi mawili ya wanasiasa. wapo wale waliotuingiza kwenye huu mkataba feki kwa kutumia udhaifu wa sheria zetu zinazoruhusu mtu mmoja kusaini mkataba kwa niaba ya watanzani zaidi ya milioni 45 akiwa kawekwa mapajani huko geneva na ikakubalika coz yeye ni waziri wa wizara husika. lakini wapo pia ndugu zetu ambao walitambua kuwa ule ulikuwa mkataba halali kisheria(japo ni wa kifisadi) wakashinikiza uvunjwe bila kufuata sheria wakijua kabisa baadaye itatokea issue ya kulipa fidia then waje wapinge fidia kujitafutia umaarufu wa kisiasa. kitu kinachoniumiza sana moyo wangu na kunifanya nisononeke kwa ajili ya nchi yangu ni kuwa watanzania wengi tumekubali kucheza pamoja na kundi la pili ambalo linatumia ipasavyo udhaifu wa rais wetu ambaye kiukweli kabisa hana sifa ya kuwa pale alipo na kuiingiza nchi kwenye migongano ya kimaslahi. tunaona nchi sasa inaongozwa kwa matukio.. yaani serikali inasubiri hadi wapinzani waibue hot issue then wao ndo wanakurupuka kufanya maamuzi bila kuzingatia outcomes au effects zake baadaye.mimi ninawaomba kwa moyo wa mapenzi kwa nchi yangu slaa,sita na wale wote walijiita wapambanaji wa ufisadi watoke mafichoni waje watuthibitishie kuwa hawakujua kuwa mkataba wa richmond/dowans ulikuwa halali kisheria japo ulikuwa ni wa kifisadi na kwamba kwa yeyote ambaye angeuvunja alipaswa kulipa fidia. otherwise nitaamini walijua mchezo mzima(outcomes) na walifanya makusudi kwa maslahi yao ya kisiasa. bunge lilikuwa na uwezo wa kushinikiza (kwa sapoti ya wananchi) wale wote waliohusika kutuingiza kwenye ule mkataba wafilisiwe na kufikishwa mahakamani badala ya kile walichokifanya.ninasikitika kuona bunge linatunga sheria ambazo zinasimamiwa na mahakama kutoa hukumu then wanakuja kuwahamasisha wananchi wapinge hizo hukumu ili kufanya muhimili huu(mahakama) usiaminiwe ktk jamii.haitoshi kusema kuwa ule mkataba ulivunjwa coz ulikuwa ni wa kifisadi.swali ni je,ulikuwepo kisheria,kwa sheria zilizotungwa na bunge?je waliosaini ule mkataba(hata kama ni kwa kushinikizwa) wanatambulika kisheria kwa mamlaka waliyonayo?je kuna uwezekano wa kujitoa kwa njia ya sheria halali za nchi kupitia mahakama?....vijana wenzangu...ni hadi hapo tutakapotambua kuwa hakuna mwenye uchungu kwa nchi yetu zaidi yetu sisi wenyewe na kuacha ndoto za kuamini kuwa wapo wateule wachache ambao tukiwakabidhi madaraka ndio tutatoka kwenye matatizo yanayotukabili....ndipo tutaposalimika....
nyc evening
Quote
 
+2 #101 2011-10-14 18:55
Nafurahishwa sana na kitedo cha Bubu huyo kuona na kutabiri mambo mazuri kiwajili ya Taifa la Watanzania
Quote
 
Add comment

Tumia jukwaa ili kutoa maoni ambayo yatasaidia kulijenga taifa letu. Kumbuka, maoni yako yatapitiwa kwanza kabla hayajarushwa hewani!!!!!!

Banner
Banner