Profesa Pius Mbawala afariki dunia Muhimbili Akizungumza na Mwananchi leo, Juni 24, 2026, mtoto wa marehemu, Priscila Mbawala, amesema baba yake alikuwa akiendelea kupatiwa matibabu kabla ya umauti kumkuta.
Samia aagiza utafiti ongezeko magonjwa ya moyo, saratani Rais Samia Suluhu Hassan amewataka watafiti nchini kufanya uchunguzi wa kina kubaini sababu za ongezeko la magonjwa ya moyo na saratani hususan katika mikoa ya Kanda ya Kaskazini.
Mahakama ilivyomaliza sakata la kuzikwa Edgar Lungu Lungu alifariki dunia akiwa Afrika Kusini Juni 5, 2025 alipokuwa akipatiwa matibabu, na tangu wakati huo mwili wake umekuwa ukizuiliwa kutokana na mvutano kati ya familia yake na Serikali ya...
Idara ya Kilimo na Uhakika wa Chakula: Nguzo muhimu ya kuhakikisha upatikanaji na usalama wa chakula Zanzibar
Maambukizi fiche yakwamisha vita dhidi ya malaria Licha ya mafanikio yaliyopatikana katika kupunguza maambukizi na vifo vinavyotokana na malaria barani Afrika, changamoto nane zimeendelea kuwa kikwazo katika juhudi za kutokomeza ugonjwa huo...
ACT wataka tume ya uchunguzi mfumo wa utoaji ZAN ID Mjadala kuhusu haki za Wazanzibari, ulinzi wa utambulisho wao na mustakabali wa Muungano umechukua nafasi kubwa ndani na nje ya Baraza la Wawakilishi, huku masuala ya uraia na upatikanaji wa...
Wiki ya utumishi wa umma ilivyogusa maisha ya watu Ndani ya siku nane wananchi wa Dodoma na mikoa ya jirani wamenufaika na huduma mbalimbali kutoka taasisi za umma kwa urahisi ikiwemo kupata vyeti vya kuzaliwa, kupimwa magonjwa mbalimbali na...
Chipsi soda Sh83,800 Kombe la Dunia Unaweza kuwaona mashabiki wa soka wakiwa na raha katika Fainali za Kombe la Dunia 2026 zinazoendelea huko Marekani, Canada na Mexico lakini nyuma ya raha hizo kuna gharama kubwa ya kifedha ambayo...
Msanii wa Iran ahukumiwa kuchapwa viboko 74 Msanii wa muziki nchini Iran, Parastoo Ahmadi, amehukumiwa viboko 74 kwa kosa la kuimba hadharani bila kuvaa hijabu. Mavazi ambayo wanawake nchini humo wanatakiwa kuvaa kwa mujibu wa sheria
Maambukizi fiche yakwamisha vita dhidi ya malaria Licha ya mafanikio yaliyopatikana katika kupunguza maambukizi na vifo vinavyotokana na malaria barani Afrika, changamoto nane zimeendelea kuwa kikwazo katika juhudi za kutokomeza ugonjwa huo...