Rayvanny afunguka baada ya kutoka Canada, Kombe la Dunia 2026
Msanii wa Bongo Fleva, Raymond Mwakyusa 'Rayvanny', usiku wa kuamkia leo amewasili nchini akitokea Toronto, Canada, alipokwenda kushiriki tamasha la Countdown kuelekea ufunguzi wa Kombe la Dunia...