Jay Melody afichua maumivu yaliyopo nyuma ya umaarufu
Moja ya changamoto zinazowakumba watu maarufu ni jamii inayowazunguka kuwawekea viwango tofauti na ubinadamu, hivyo ikitokea wakipitia changamoto huonekana kama wanaigiza, jambo ambalo baadhi yao...