TRC yarejesha safari za treni Kigoma, Mwanza na Arusha, yaongeza SGR Uamuzi huo umetokana na kuongezeka kwa idadi ya wasafiri wanaotumia huduma ya reli ya kisasa ya SGR, huku shirika hilo likiahidi kuendelea kutoa huduma bora, salama na za uhakika kwa wananchi.
Fadlu atimuliwa Raja Casablanca Raja Casablanca imetangaza kuachana rasmi na Kocha wa zamani wa Simba, Fadlu Davids usiku wa kuamkia leo, Juni 12, 2026.
Migogoro ya ardhi ilivyotikisa ziara ya Kihongosi Migogoro ya ardhi imeendelea kuwa moja ya changamoto kubwa zinazowakabili wananchi, hali iliyodhihirika pia katika ziara ya siku tisa ya Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani...
Wadau waichambua bajeti kuu wakionesha mbivu, mbichi Katika bajeti hiyo, Serikali imeonesha maeneo ya kimkakati na jinsi ambavyo bajeti hiyo inapunguza utegemezi, badala yake kuongeza mipango ya kukusanya kodi za ndani.
Migogoro ya ardhi ilivyotikisa ziara ya Kihongosi Migogoro ya ardhi imeendelea kuwa moja ya changamoto kubwa zinazowakabili wananchi, hali iliyodhihirika pia katika ziara ya siku tisa ya Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani...
Hatifungani za makazi zinavyoshambuliwa sokoni Imani ya Watanzania katika uwekezaji katika masoko ya mitaji Tanzania imeendelea kujidhihirisha baada Hati Fungani ya Makazi (FHF) kuvutia uwekezaji mara sita zaidi ya kiwango kilicholengwa.
Fadlu atimuliwa Raja Casablanca Raja Casablanca imetangaza kuachana rasmi na Kocha wa zamani wa Simba, Fadlu Davids usiku wa kuamkia leo, Juni 12, 2026.