Necta yatangaza matokeo kidato cha sita 2026, ufaulu waongezeka Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) limesema jumla ya watahiniwa 124,603 sawa na asilimia 99.56 wamepata ufaulu mzuri wa daraja kwanza hadi la tatu.
OPEC+ yaibua matumizi mapya, gharama za mafuta kushuka OPEC ni muungano wa nchi wazalishaji wa mafuta ulioanzishwa mwaka 1960 kwa lengo la kuratibu sera za uzalishaji na kuhakikisha bei ya mafuta inabaki katika kiwango kinachoweza kutabirika.
Hanlink Mobility: Gwiji wa usafirishaji Afrika Mashariki atua Tanzania, aahidi mapinduzi ya viwanda na ajira
Watu Credit (Tanzania) Limited yaadhimisha miaka mitano ya ujumuishaji wa kifedha, ikiwezesha mikopo ya zaidi ya Sh 700 bilioni
Idara ya Kilimo na Uhakika wa Chakula: Nguzo muhimu ya kuhakikisha upatikanaji na usalama wa chakula Zanzibar
Wadudu wachavushaji kuwakutanisha wadau Tanzania Arusha. Zaidi ya wadau 1,000 wa kilimo, biashara, uhifadhi wa mazingira na teknolojia 1000 kutoka nchi za Afrika wanatarajiwa kukutana nchini Kwa siku tatu kujadili namna ya kulinda wadudu...
Hemed awahimiza vijana Zanzibar kugeukia kilimo Hemed ametoa kauli hiyo leo Jumatatu Julai 6, 2027 katika shamba la kilimo Mtule Paje, Mkoa wa Kusini Unguja ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake ya kutembelea mashamba ya mpunga, kilimo cha...
Wafanyabiashara wa Ufaransa wakaribishwa Tanzania Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amewaalika wafanyabiashara kutoka Ufaransa kuwekeza nchini Tanzania kwani kuna fursa ya kutengeneza ajira, kuhamisha ujuzi na kujenga uchumi wa viwanda kwa faida...
Infantino akiri kupokea simu ya Trump sakata la Balogun Kwa mujibu wa taarifa za ndani, Trump alimpigia simu Infantino akitaka kufanyika mapitio ya adhabu iliyotolewa kwa Balogun baada ya kadi nyekundu katika mchezo dhidi ya Bosnia na Herzegovina.
Baada ya kusepa WCB, Mbosso ageuka mfalme wa kolabo Huenda huu ukawa wakati ambao , Mbosso, anaufurahia zaidi tangu aanze safari yake kama msanii huru.
Amani na maendeleo ni chanda na pete Kuna jambo moja ambalo Watanzania wengi hulitaja kwa fahari wanapozungumzia taifa lao; amani. Kwa zaidi ya miongo sita tangu kupata uhuru, Tanzania imeendelea kuwa miongoni mwa nchi chache barani...