Mazishi ya Ayatollah Khamenei yanasubiriwa kuandika upya kitabu cha Guinness
Miaka 37 iliyopita, rekodi mpya ya dunia iliandikwa. Ilikuwa Juni 11, 1989, watu zaidi ya milioni 10.2, walihudhuria mazishi ya aliyekuwa Kiongozi Mkuu (Rahbar) wa Iran, Ayatollah Ruhollah Khomeini.