Rais Samia ateua wawili yumo Dk Jingu Dk Jingu anachukua nafasi ya Profesa Elisante Gabriel ambaye amestaafu utumishi wa umma.
Wanavyuo 17 kortini wakidaiwa kughushi nyaraka kupata mkopo wa HESLB Wamesomewa mashtaka yao na mawakili wawili wa Serikali, Titus Aaron na Cathbert Mbilingi kwa kupokezana, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Romuli Mbuya.
TRC yarejesha safari za treni Kigoma, Mwanza na Arusha, yaongeza SGR Uamuzi huo umetokana na kuongezeka kwa idadi ya wasafiri wanaotumia huduma ya reli ya kisasa ya SGR, huku shirika hilo likiahidi kuendelea kutoa huduma bora, salama na za uhakika kwa wananchi.
Rais Samia ataka mageuzi sekta ya fedha yamguse mwananchi wa chini Sherehe hizo zimehudhuriwa na viongozi mbalimbali wakiwamo mawaziri, magavana na naibu magavana wastaafu, wafanyakazi wa BoT, wafanyakazi wa Wizara ya Fedha, wawakilishi wa mashirika ya fedha...
Baada ya miaka nane, ndege za abiria kurejea Musoma Urejeaji wa huduma za ndege unatarajiwa kufungua fursa mpya za biashara, utalii na uwekezaji, sambamba na kupunguza muda wa safari kwa wananchi waliokuwa wakilazimika kutumia njia mbadala za...
Bodaboda wafunga barabara Mwika, mabomu ya machozi yatumika Taarifa za awali zinaeleza kuwa dereva huyo alihisiwa kubeba dawa za kulevya aina ya mirungi, ingawa madai hayo bado hayajathibitishwa rasmi na vyombo vya usalama.

Wadau waichambua bajeti kuu wakionesha mbivu, mbichi Katika bajeti hiyo, Serikali imeonesha maeneo ya kimkakati na jinsi ambavyo bajeti hiyo inapunguza utegemezi, badala yake kuongeza mipango ya kukusanya kodi za ndani.
Migogoro ya ardhi ilivyotikisa ziara ya Kihongosi Migogoro ya ardhi imeendelea kuwa moja ya changamoto kubwa zinazowakabili wananchi, hali iliyodhihirika pia katika ziara ya siku tisa ya Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani...
Baada ya miaka nane, ndege za abiria kurejea Musoma Urejeaji wa huduma za ndege unatarajiwa kufungua fursa mpya za biashara, utalii na uwekezaji, sambamba na kupunguza muda wa safari kwa wananchi waliokuwa wakilazimika kutumia njia mbadala za...
Jimenez shujaa wa Mexico aliyenusurika kifo uwanjani Huenda Dunia isingemshuhudia mshambuliaji wa Mexico, Raul Jimenez akifunga bao la pili jana dhidi ya Afrika Kusini katika mechi ya ufunguzi wa Kombe la Dunia 2026 kutokana na changamoto aliyopata...