Rais Samia ateua wawili yumo Dk Jingu Dk Jingu anachukua nafasi ya Profesa Elisante Gabriel ambaye amestaafu utumishi wa umma.
TRC yarejesha safari za treni Kigoma, Mwanza na Arusha, yaongeza SGR Uamuzi huo umetokana na kuongezeka kwa idadi ya wasafiri wanaotumia huduma ya reli ya kisasa ya SGR, huku shirika hilo likiahidi kuendelea kutoa huduma bora, salama na za uhakika kwa wananchi.
Rais Samia ataka mageuzi sekta ya fedha yamguse mwananchi wa chini Sherehe hizo zimehudhuriwa na viongozi mbalimbali wakiwamo mawaziri, magavana na naibu magavana wastaafu, wafanyakazi wa BoT, wafanyakazi wa Wizara ya Fedha, wawakilishi wa mashirika ya fedha...
Bodaboda wafunga barabara Mwika, mabomu ya machozi yatumika Taarifa za awali zinaeleza kuwa dereva huyo alihisiwa kubeba dawa za kulevya aina ya mirungi, ingawa madai hayo bado hayajathibitishwa rasmi na vyombo vya usalama.
Wanavyuo 17 kortini wakidaiwa kughushi nyaraka kupata mkopo wa HESLB Wamesomewa mashtaka yao na mawakili wawili wa Serikali, Titus Aaron na Cathbert Mbilingi kwa kupokezana, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Romuli Mbuya.
Wadau waichambua bajeti kuu wakionesha mbivu, mbichi Katika bajeti hiyo, Serikali imeonesha maeneo ya kimkakati na jinsi ambavyo bajeti hiyo inapunguza utegemezi, badala yake kuongeza mipango ya kukusanya kodi za ndani.
Migogoro ya ardhi ilivyotikisa ziara ya Kihongosi Migogoro ya ardhi imeendelea kuwa moja ya changamoto kubwa zinazowakabili wananchi, hali iliyodhihirika pia katika ziara ya siku tisa ya Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani...
Baada ya miaka nane, ndege za abiria kurejea Musoma Urejeaji wa huduma za ndege unatarajiwa kufungua fursa mpya za biashara, utalii na uwekezaji, sambamba na kupunguza muda wa safari kwa wananchi waliokuwa wakilazimika kutumia njia mbadala za...
Nabi arithi mikoba ya Fadlu Raja Raja imethibitisha ujio wa kocha huyo raia wa Tunisia ambaye amesaini mkataba wa kuinoa timu hiyo hadi Juni 2027 huku kukiwa na kipengele cha kuongeza muda wa ushirikiano huo.
Watanzania wanapenda sanaa lakini hawawajali wasanii Hakika jambo moja ambalo wasanii huja kugundua baada ya kuanza kutegemea sanaa kuendesha maisha yao, ni kuwa sehemu kubwa ya jamii ya Watanzania, wanapenda sanaa lakini hawajalii wasanii.