CDF wa Kenya afariki dunia katika ajali ya helkopta Rais wa Kenya William Ruto ametangaza kifo cha Mkuu wa Majeshi wa nchi hiyo (CDF), Jenerali Francis Ogolla baada ya kupata ajali ya helkopta leo Alhamisi Aprili 18, 2024.
PRIME Kauli ya Mwenyekiti UVCCM yawasha moto, Jaji Mutungi, Sheikh Ponda, RPC Msajili wa vyama vya siasa, Jaji Francis Mutungi atoa neno. Sheikh Ponda akumbusha waliopotea
Mbowe, Lissu watakavyoongoza maandamano ya amani Chadema Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe na Makamu Mwenyekiti -Bara, Tundu Lissu watashiriki maandamano hayo na ratiba imetolewa ikieleza namna watakavyoyaongoza
CDF wa Kenya apata ajali ya helkopta, Ruto aitisha kikao cha dharura Rais William Ruto ameita Baraza la Usalama la Kitaifa (NSC) katika Ikulu ya Nairobi baada ya chopa ya Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF) kuanguka leo Alhamisi ya Aprili 18, 2024
PRIME Namna makachero walivyomdaka mwizi wa bastola Mwaipopo alikamatwa na maofisa wa polisi katika Kituo cha Basi cha Bomang’ombe, Wilaya ya Hai, Januari 25 2018
Mbunge azikataa ‘English Medium’ za Serikali Imeelezwa kuwa Manispaa na halmashauri nchini zimezua tabia ya kujenga shule zenye mkondo wa Kiingereza kwa maana ya ‘English Medium’
PRIME Kauli ya Mwenyekiti UVCCM yawasha moto, Jaji Mutungi, Sheikh Ponda, RPC Msajili wa vyama vya siasa, Jaji Francis Mutungi atoa neno. Sheikh Ponda akumbusha waliopotea
PRIME Chanzo ongezeko la vifo, ajali za barabarani Zanzibar Zanzibar licha ya kuwa na miundombinu ya barabara, bado ina safari ndefu ya kuziwezesha kuwa na sifa hiyo
Mbowe, Lissu watakavyoongoza maandamano ya amani Chadema Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe na Makamu Mwenyekiti -Bara, Tundu Lissu watashiriki maandamano hayo na ratiba imetolewa ikieleza namna watakavyoyaongoza
PRIME Wazanzibar wengi hawana mpango wa kustaafu Kukosekana kwa elimu ya kujiandaa kustaafu, mfumo wa elimu usiomuandaa mtu kujiajiri na uwepo wa pensheni inayotolewa na Serikali kwa wazee zimetajwa kuwa miongoni mwa sababu ya asilimia 47 ya...
Mapacha Singida Black Stars, Singida FG sare kila kitu LIGI Kuu Bara imeendelea tena leo kwa mchezo mmoja kupigwa ambapo wenyeji Ihefu (Singida Black Stars) wameshindwa katamba kwenye Uwanja wa Liti mjini Singida baada ya kulazimishwa sare ya...
Ayra uso kwa uso na Rihanna Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Ayra Starr amekutana na msanii mwenzake Rihanna, usiku wa kuamkia leo katika onyesho la Fenty X Puma lililofanyika jijini London
Mafyatu tunakumiss Edward Sokoine Najua umelala kwa miaka 40. Juzi nilisikia chawa mmoja akikuita mzee. Kwa uchache, nikupe bonge la kumbukizi. Uliondoka mbichi, miaka 45 tena kwa utata. Hata hivyo, ilisemekana, ulifyatuliwa na...
PRIME Sababu, athari kupotea kwa uandishi wa barua Mwaka jana, rafiki yangu Hanifa Kafashe alipata msiba wa mtoto wake aliyefariki kwa ajali ya gari.