PRIME Kizungumkuti ununuzi magari ya ma-RC, DC Imedaiwa kuwa, gari lenye thamani ya Sh60 milioni ‘linaoza’ kwa sababu ya matairi ya Sh2.4 milioni au kipuri cha Sh500,000, linatelekezwa kwa miezi sita baadaye linauzwa Sh3 milioni
Msigwa akabidhiwa fomu, asema hana nia kugombea uongozi Chadema Taifa Mchungaji Msigwa amesema nafasi anayogombea ya uenyekiti Kanda ya Nyasa sio rahisi inahitaji weledi na rasilimali za kutosha
Hivi kweli Rais anatukanwa polisi mpo kimya? Wiki iliyopita, tumemsikia Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda akisema wapo watu, wakiwamo mawaziri wanaowalipa watu fedha ili kumtukana Rais Samia Suluhu Hassan mitandaoni, najiuliza hivi...
PRIME Hivi ndivyo Tanzania inavyoweza kukabili athari za mafuriko Uhamishaji wananchi kutoka maeneo ya mabondeni umeelezwa na wanazuoni kuwa, unapaswa kuhusisha kuweka miundombinu itakayowashawishi kuwawezesha kuishi
Sheria za makosa ya unyanyasaji wa kijinsia kupitiwa Mbunge wa viti maalumu, Tunza Malapo amesema matukio ya unyanyasaji wa kijinsia kwa watoto, wanawake na makundi mengine yamekithiri sana
PRIME Chanzo ongezeko la vifo, ajali za barabarani Zanzibar Zanzibar licha ya kuwa na miundombinu ya barabara, bado ina safari ndefu ya kuziwezesha kuwa na sifa hiyo
PRIME Waziri asimulia alivyosaidiwa kusomeshwa na Sokoine Ni nadra kwa kiongozi mwenye mafanikio ya kielimu, kiuchumi na kisiasa kuelezea mapito yale, lakini sio kwa Naibu Waziri wa Madini, Dk Steven Kiruswa ambaye anasema bila hayati Edward Sokoine...
PRIME Chanzo ongezeko la vifo, ajali za barabarani Zanzibar Zanzibar licha ya kuwa na miundombinu ya barabara, bado ina safari ndefu ya kuziwezesha kuwa na sifa hiyo
Mbowe, Lissu watakavyoongoza maandamano ya amani Chadema Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe na Makamu Mwenyekiti -Bara, Tundu Lissu watashiriki maandamano hayo na ratiba imetolewa ikieleza namna watakavyoyaongoza
PRIME Wazanzibar wengi hawana mpango wa kustaafu Kukosekana kwa elimu ya kujiandaa kustaafu, mfumo wa elimu usiomuandaa mtu kujiajiri na uwepo wa pensheni inayotolewa na Serikali kwa wazee zimetajwa kuwa miongoni mwa sababu ya asilimia 47 ya...
Pingamizi la Mwakinyo latupiliwa mbali Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jana Alhamisi imefanya uamuzi mdogo wa kutupilia mbali pingamizi lililoweka na bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Hassan Mwakinyo katika kesi ya madai inayomkabili...
Ayra uso kwa uso na Rihanna Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Ayra Starr amekutana na msanii mwenzake Rihanna, usiku wa kuamkia leo katika onyesho la Fenty X Puma lililofanyika jijini London
Mafyatu tunakumiss Edward Sokoine Najua umelala kwa miaka 40. Juzi nilisikia chawa mmoja akikuita mzee. Kwa uchache, nikupe bonge la kumbukizi. Uliondoka mbichi, miaka 45 tena kwa utata. Hata hivyo, ilisemekana, ulifyatuliwa na...
PRIME Sababu, athari kupotea kwa uandishi wa barua Mwaka jana, rafiki yangu Hanifa Kafashe alipata msiba wa mtoto wake aliyefariki kwa ajali ya gari.