Shule iliyosababisha mkandarasi kutimuliwa Zanzibar yafunguliwa
Hata hivyo, alipotembelea ujenzi wa shule hiyo Julai 17, 2022, Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi alikasirishwa kutokana na kusuasua kwa ujenzi uliokuwa ukitekelezwa na kampuni ya Associated...