PRIME Jinsi mashirika ya umma yalivyo pasua kichwa Wakati madudu yakiendelea kutokea kwenye ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), ofisi mdhibiti huo imetoa pendekezo la kuongeza fedha, kwa ajili ya huduma za afya ya...
Mmoja afariki dunia, watatu wajeruhiwa wakiiwahi Simba Kwa Mkapa Shabiki mmoja wa timu ya Simba amefariki dunia na wengine watatu wamejeruhiwa (majina hayajapatikana), katika ajali iliyotokea leo Ijumaa Machi 29, 2024 alfajiri katika eneo la Vigwaza mkoani...
PRIME Uchaguzi mdogo kata 22 picha ileile ya uchaguzi 2024, 2025 Uchaguzi mdogo uliofanyika Machi 20, 2024 katika kata 22 nchini umepokewa kwa hisia tofauti na wadau wa demokrasia, wakisema ni kipimo halisi cha uchaguzi ujao wa serikali za mitaa na Uchaguzi...
Nyasi zilivyogeuka dili vita ya ukame Monduli Hivi unafahamu namna nyasi zinavyoweza kuboresha maisha, hasa katika jamii zinazoathirika na ukame? Ukizungumza na Nengai Laizer utaelewa zaidi.
Takukuru yabaini safari hewa, udanganyifu vituo vya mafuta Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imechunguza na kukamilisha majalada 900 yakiwemo 21 yaliyohusu rushwa kubwa zilizohusisha ubadhilifu na hasara kwa Serikali.
CAG abainisha hasara mashirika matano, mawili yarejesha ruzuku kama mapato Mashirika hayo ni lile la Ndege Tanzania (ATCL), Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Shirika la Reli Tanzania (TRC), Kampuni ya Uwekezaji (Tanoil) na Shirika la Posta.
Nyasi zilivyogeuka dili vita ya ukame Monduli Hivi unafahamu namna nyasi zinavyoweza kuboresha maisha, hasa katika jamii zinazoathirika na ukame? Ukizungumza na Nengai Laizer utaelewa zaidi.
Zena: MCL inaonesha kwa vitendo namna ya kuimarisha mshikamano Zena ametoa kauli hiyo leo Jumatatu Machi 25, 2024 alipokuwa akizungumza kwenye uzinduzi wa Kampeni ya The Citizen Rising Woman katika Hoteli ya Madnat, Unguja Zanzibar
PRIME Huyu ndiye Bassirou Faye aliyeishangaza dunia kutokea Senegal Kiongozi wa upinzani Senegal, mwenye nguvu zaidi, Ousmane Sonko, alitarajiwa kuwa mgombea urais mwenye nafasi kubwa ya kushinda katika uchaguzi mkuu 2024, hata hivyo alizuiwa kugombea.
Ongezeko mauzo ya bustani nje ya nchi na athari zake kiuchumi Kuimarika kwa uhusiano wa kidiplomasia, uwepo wa sera wezeshi katika sekta ya biashara na miundombinu zimetajwa kuwa sababu za kupaa kwa mauzo ya mazao ya bustani nje ya nchi, ikiwemo mbogamboga...
Mastaa Mamelodi waanza kutua Kundi la kwanza la msafara wa Mamelodi Sundowns limewasili nchini ambapo mastaa wake saba wametua kwa ndege maalumu aina ya Jet.
Saudi Arabia yatangaza kushiriki Miss Universe 2024 kwa mara ya kwanza Kwa mara ya kwanza katika historia Saudi Arabia imeripotiwa kushiriki katika shindano la Miss Universe 2024, ikiwakilishwa na Miss Saudi Arabia 2021 Rumy Alqahtani (27).
Kuna la kujifunza kauli ya Ndumbaro Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Damas Ndumbaro amezua mjadala kufuatia kauli yake aliyoitoa hivi karibuni aliposema atasikitishwa endapo ataona Watanzania wamevaa jezi za Al Ahly katika...
Hatari ya shisha kwa vijana katika kifua kikuu Ni kawaida siku hizi katika kumbi za starehe mijini kukuta mitungi ya shisha juu ya meza, huku watumiaji wakichangia kilevi hicho. Je, unajua kuna uwezekano mkubwa mtumiaji kupata maambukizi ya...