PRIME Hivi ndivyo Tanzania inavyoweza kukabili athari za mafuriko Uhamishaji wananchi kutoka maeneo ya mabondeni umeelezwa na wanazuoni kuwa, unapaswa kuhusisha kuweka miundombinu itakayowashawishi kuwawezesha kuishi
Msigwa akabidhiwa fomu, asema hana nia ya kugombea Taifa Mchungaji Msigwa amesema nafasi anayogombea ya uenyekiti Kanda ya Nyasa sio rahisi inahitaji weledi na rasilimali za kutosha
Hivi kweli Rais anatukanwa polisi mpo kimya? Wiki iliyopita, tumemsikia Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda akisema wapo watu, wakiwamo mawaziri wanaowalipa watu fedha ili kumtukana Rais Samia Suluhu Hassan mitandaoni, najiuliza hivi...
Watanzania 56 waliozamia Afrika Kusini, wahukumiwa kulipa faini Sh50,000 kila mmoja Inaelezwa washtakiwa wakiwa raia wa Tanzania, waliondoka isivyo halali nchini kueleleka Afrika Kusini
Sheria za makosa ya unyanyasaji wa kijinsia kupitiwa Mbunge wa viti maalumu, Tunza Malapo amesema matukio ya unyanyasaji wa kijinsia kwa watoto, wanawake na makundi mengine yamekithiri sana
Alichosema Makalla mkoani kwa Chongolo Rais John Magufuli alitangaza uanzishwaji wa Mkoa wa Songwe kwenye Gazeti la Serikali (GN) Namba 461 Januari 29, 2016.
Serikali ya Tanzania kufuta leseni za utafiti wa madini zisizofanyiwa kazi Mbunge wa Kishapu (CCM), Boniphace Butondo amehoji sababu za ongezeko la leseni za utafiti na hasa katika maeneo ya madini nchini na zimekuwa zikitolewa kwa wageni
Petroli yaanza kupatikana, hofu bado Unguja Kila mmiliki wa kituo cha kuuza mafuta amepewa lita 2,000, hata kama anahitaji lita 10,000 za mafuta kwa siku.
PRIME Mahakama ilivyoulinda ubatili kwenye Katiba kuhusu mgombea binafsi Kwa wasomaji wapya, leo naendelea na makala elimishi kuhusu Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (JMT) kwa jicho la mtunga Katiba, alidhamiria nini wakati anaweka kifungu fulani.
PRIME Wazanzibar wengi hawana mpango wa kustaafu Kukosekana kwa elimu ya kujiandaa kustaafu, mfumo wa elimu usiomuandaa mtu kujiajiri na uwepo wa pensheni inayotolewa na Serikali kwa wazee zimetajwa kuwa miongoni mwa sababu ya asilimia 47 ya...
Penalti ya Silva yazua gumzo, Lunin afichua siri Kwa kawaida katika soka wadau, makocha na wachezaji wana usemi kuwa penalti huwa hazina mwenyewe. Ndivyo unavyoweza kuelezea kilichotokea usiku wa jana Jumatano kwenye Uwanja wa Etihad wakati...
Kajala akubali yaishe, aomba radhi kwa mzazi mwenziye Majani Mwigizaji Kajala Masanja amemuomba radhi mzazi mwenziye Paul Matthysse maarufu kwa jina la 'P Funk Majani' kutokana na migogoro waliyokuwa wakipitia kwa muda mrefu.
Mafyatu tunakumiss Edward Sokoine Najua umelala kwa miaka 40. Juzi nilisikia chawa mmoja akikuita mzee. Kwa uchache, nikupe bonge la kumbukizi. Uliondoka mbichi, miaka 45 tena kwa utata. Hata hivyo, ilisemekana, ulifyatuliwa na...
PRIME Sababu, athari kupotea kwa uandishi wa barua Mwaka jana, rafiki yangu Hanifa Kafashe alipata msiba wa mtoto wake aliyefariki kwa ajali ya gari.