Pacome kuikosa JKT Tanzania leo, awasubiria Coastal Union
Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi amesema kuwa kiungo wake Pacome Zouzoua badon hajawa tayari kutumika katika mechi dhidi ya JKT Tanzania leo kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, Dar es Salaam...