Mvua yasababisha barabara nne kufungwa Dar Katika eneo la Mkwajuni, amesema sababu za kufungwa ni wingi wa maji yanayopita juu ya barabara katika bonde hilo, hivyo kutishia usalama wa watumiaji.
PRIME Makonda ahojiwa kwa saa tatu CCM Mwananchi Digital leo iliweka kambi kwenye ofisi za makao makuu ya CCM jijini Dodoma, ilimshuhudia Makonda akiingia kwenye ofisi hizo saa 3.15 asubuhi akiwa na gari aina ya Toyota Land Cruiser...
PRIME Bajeti ya Uwekezaji yapita, Mpina, Dk Kimei wakwama Awali, Profesa Mkumbo amesema TIC hadi Machi mwaka huu, kilisajili miradi mipya 509 sawa na ongezeko la asilimia 112.1. Miradi inatarajia kuwekeza Dola za Marekani milioni 4,490.24 na...
PRIME Manji: Tatizo la Simba ni mtu huyu ALIYEWAHI kuwa Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji, Jumamosi iliyopita alishuhudia mchezo wa Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga na Simba na kusema: “Tatizo la Simba ni mtu huyu.”
RC Chalamila asisitiza mshikamano msibani kwa Gardner Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila awataka wananchi kuwa na tabia ya kusaidia wakati wa ugonjwa na si kusubiri mtu afe
PRIME Nani anawajibika ulinzi wa walimu kazini? Usalama wa mwalimu awapo kazini ni suala muhimu linalomwezesha atekeleze majukumu yake ipasavyo.
Mvua yasababisha barabara nne kufungwa Dar Katika eneo la Mkwajuni, amesema sababu za kufungwa ni wingi wa maji yanayopita juu ya barabara katika bonde hilo, hivyo kutishia usalama wa watumiaji.
PRIME Othman akosoa mfumo wa utendaji nchini Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo, Othman Masoud, amesema katika mfumo wa uwajibikaji kila mtu analalamika hata mamlaka zenyewe
Mbowe, Lissu watakavyoongoza maandamano ya amani Chadema Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe na Makamu Mwenyekiti -Bara, Tundu Lissu watashiriki maandamano hayo na ratiba imetolewa ikieleza namna watakavyoyaongoza
Watanzania watakiwa kuzingatia ubora wa bidhaa . Kampuni inapanga kuifanya Tanzania kitovu cha uzalishaji na biashara, na kufanya bidhaa zenye ubora na gharama nafuu.
PRIME Manji: Tatizo la Simba ni mtu huyu ALIYEWAHI kuwa Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji, Jumamosi iliyopita alishuhudia mchezo wa Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga na Simba na kusema: “Tatizo la Simba ni mtu huyu.”
Wasanii wajitokeza kumuaga Gardner Wasanii mbalimbali wamejitokeza katika viwanja vya Leaders Club leo Aprili 22,2024, kumuaga marehemu Gardner Habash aliyekuwa mtangazaji wa Clouds Media katika kipindi cha Jahazi.
Usilete saikolojia ya shuleni kwenye maisha Hivi karibuni niliona klipu ya kifaranga kikipigana na jogoo. Haikuwa ya kutengenezwa kwa maana ya vikaragosi, bali ni kweli mpita njia alikutana na tukio hilo akaamua kulichukua kwa kamera ya...
PRIME Nani anawajibika ulinzi wa walimu kazini? Usalama wa mwalimu awapo kazini ni suala muhimu linalomwezesha atekeleze majukumu yake ipasavyo.