Mtangazaji wa Clouds Gardner afariki, mastaa wamlilia Kufuatia taarifa ya kifo cha mtangazaji maarufu wa Kampuni ya Clouds Media, Gardner G Habash, watu mbalimbali wakiwemo wasanii na watu wanaomfahamu wametuma salamu za rambirambi kwa familia yake.
Rose Ndauka mwanadada mwenye kofia tatu za heshimu Naweza kumlinganisha mwanadada Rose Ndauka na jiwe moja linalopiga ndege watatu, hii ni kutokana na mwigizaji huyu kuzama katika tasnia tatu tofauti kwa ajili ya kujipatia kipato. Utakumbuka Rose...
PRIME Adaiwa kumuua mume wa ‘mchepuko’ ili wawe huru Upande wa Jamhuri, katika kesi ya mauaji ya Tegemeo Rashid, umebainisha sababu za mauaji hayo kuwa ni ugomvi uliotokana na wivu wa kimapenzi, aliokuwa nao mshtakiwa wa kwanza katika kesi hiyo...
PRIME Polisi wamchunguza DED Mafia aliyetenguliwa na Rais Samia Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Rufiji linamchunguza aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia (DED), Mkoa wa Pwani, Kassim Ndumbo kwa tuhuma za kufanya ngono na mfanyakazi...
Miaka 11 bila Bi Kidude “Yalaiti napenda pasi kifani tofauti sikutilii moyoni sikuachi leo na kesho peponi…” ni sehemu ya mashairi yaliyopo kwenye wimbo uitwao Yalaiti, wa Fatma Binti Baraka ‘Bi Kidude’.
PRIME Mtazamo wa Jaji Warioba miaka 60 ijayo ya Muungano Kwa mtazamo wa Jaji Warioba, kipindi kijacho Serikali inapaswa kujikita katika kuimarisha haki za Watanzania ndani ya Muungano.
Makada Chadema kumkabili Lema Kaskazini Kanda ya Kaskazini inaonekana kuwa na ushindani mkali kwa nafasi ya uenyekiti.
PRIME Chanzo ongezeko la vifo, ajali za barabarani Zanzibar Zanzibar licha ya kuwa na miundombinu ya barabara, bado ina safari ndefu ya kuziwezesha kuwa na sifa hiyo
Mbowe, Lissu watakavyoongoza maandamano ya amani Chadema Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe na Makamu Mwenyekiti -Bara, Tundu Lissu watashiriki maandamano hayo na ratiba imetolewa ikieleza namna watakavyoyaongoza
Watanzania watakiwa kuzingatia ubora wa bidhaa . Kampuni inapanga kuifanya Tanzania kitovu cha uzalishaji na biashara, na kufanya bidhaa zenye ubora na gharama nafuu.
Saa 4 kabla ya mechi, Kwa Mkapa jua kaliii Zikiwa zimesalia takribani saa nne ili kuchezwa kwa mechi ya Watani wa Jadi Yanga dhidi ya Simba, hali ya Uwanja wa Benjamin Mkapa, imepoa huku jua kali likiwa linawaka.
Miaka 11 bila Bi Kidude “Yalaiti napenda pasi kifani tofauti sikutilii moyoni sikuachi leo na kesho peponi…” ni sehemu ya mashairi yaliyopo kwenye wimbo uitwao Yalaiti, wa Fatma Binti Baraka ‘Bi Kidude’.
Mafyatu tunakumiss Edward Sokoine Najua umelala kwa miaka 40. Juzi nilisikia chawa mmoja akikuita mzee. Kwa uchache, nikupe bonge la kumbukizi. Uliondoka mbichi, miaka 45 tena kwa utata. Hata hivyo, ilisemekana, ulifyatuliwa na...
PRIME Mambo saba usiyopaswa kufanya baada ya kula Chakula ni muhimu kwa afya njema na kuna misingi inatakiwa kufuatwa ili kuepukana na madhara yatakayosababishwa baada ya kula chakula.