Mvua yasababisha barabara nne kufungwa Dar Katika eneo la Mkwajuni, amesema sababu za kufungwa ni wingi wa maji yanayopita juu ya barabara katika bonde hilo, hivyo kutishia usalama wa watumiaji.
PRIME Makonda ahojiwa kwa saa tatu CCM Mwananchi Digital leo iliweka kambi kwenye ofisi za makao makuu ya CCM jijini Dodoma, ilimshuhudia Makonda akiingia kwenye ofisi hizo saa 3.15 asubuhi akiwa na gari aina ya Toyota Land Cruiser...
Mbunge ataja mbinu kunusuru wanafunzi kuchezea kondomu Dk Mabula ameeleza kuwa wanafunzi wanachezea mipira hiyo wanapofika shuleni asubuhi, hivyo ukijengwa uzio utawanusuru na adha hiyo kwani dada poa hawataweza kuingia kwenye maeneo hayo.
PRIME Manji: Tatizo la Simba ni mtu huyu ALIYEWAHI kuwa Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji, Jumamosi iliyopita alishuhudia mchezo wa Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga na Simba na kusema: “Tatizo la Simba ni mtu huyu.”
RC Chalamila asisitiza mshikamano msibani kwa Gardner Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila awataka wananchi kuwa na tabia ya kusaidia wakati wa ugonjwa na si kusubiri mtu afe
Mwili wa Gardner wawasili Rombo kwa maziko Gardner alifariki dunia Aprili 20, 2024 katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) alikokuwa amelazwa akisumbuliwa na ugonjwa wa shinikizo la damu.
Kortini wakidaiwa kuiba lita 400 za mafuta ya transfoma Washtakiwa hao, ambao wote ni wakazi wa Kimara, wamefikishwa Mahakama hapo, leo Aprili 23, 2024 na kusomewa mashitaka yao na wakili wa Serikali, Adolf Verandumi, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu...
Shule iliyosababisha mkandarasi kutimuliwa Zanzibar yafunguliwa Hata hivyo, alipotembelea ujenzi wa shule hiyo Julai 17, 2022, Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi alikasirishwa kutokana na kusuasua kwa ujenzi uliokuwa ukitekelezwa na kampuni ya Associated...
Mbowe, Lissu watakavyoongoza maandamano ya amani Chadema Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe na Makamu Mwenyekiti -Bara, Tundu Lissu watashiriki maandamano hayo na ratiba imetolewa ikieleza namna watakavyoyaongoza
Watanzania watakiwa kuzingatia ubora wa bidhaa . Kampuni inapanga kuifanya Tanzania kitovu cha uzalishaji na biashara, na kufanya bidhaa zenye ubora na gharama nafuu.
Pacome kuikosa JKT Tanzania leo, awasubiria Coastal Union Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi amesema kuwa kiungo wake Pacome Zouzoua badon hajawa tayari kutumika katika mechi dhidi ya JKT Tanzania leo kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, Dar es Salaam...
Wasanii wajitokeza kumuaga Gardner Wasanii mbalimbali wamejitokeza katika viwanja vya Leaders Club leo Aprili 22,2024, kumuaga marehemu Gardner Habash aliyekuwa mtangazaji wa Clouds Media katika kipindi cha Jahazi.
Usilete saikolojia ya shuleni kwenye maisha Hivi karibuni niliona klipu ya kifaranga kikipigana na jogoo. Haikuwa ya kutengenezwa kwa maana ya vikaragosi, bali ni kweli mpita njia alikutana na tukio hilo akaamua kulichukua kwa kamera ya...
PRIME Nani anawajibika ulinzi wa walimu kazini? Usalama wa mwalimu awapo kazini ni suala muhimu linalomwezesha atekeleze majukumu yake ipasavyo.