PRIME Hivi ndivyo Tanzania inavyoweza kukabili athari za mafuriko Uhamishaji wananchi kutoka maeneo ya mabondeni umeelezwa na wanazuoni kuwa, unapaswa kuhusisha kuweka miundombinu itakayowashawishi kuwawezesha kuishi
Msigwa akabidhiwa fomu, asema hana nia kugombea uongozi Chadema Taifa Mchungaji Msigwa amesema nafasi anayogombea ya uenyekiti Kanda ya Nyasa sio rahisi inahitaji weledi na rasilimali za kutosha
Hivi kweli Rais anatukanwa polisi mpo kimya? Wiki iliyopita, tumemsikia Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda akisema wapo watu, wakiwamo mawaziri wanaowalipa watu fedha ili kumtukana Rais Samia Suluhu Hassan mitandaoni, najiuliza hivi...
Majaliwa aagiza mrejesho wa michango ya maafa kwa jamii Mbunge wa viti maalumu Agnes Hokororo amehoji Serikali ina mkakati gani wa kuhakikisha michango ya maafa inasimamiwa ili kutokukatisha tamaa wadau wanaochangia
Sheria za makosa ya unyanyasaji wa kijinsia kupitiwa Mbunge wa viti maalumu, Tunza Malapo amesema matukio ya unyanyasaji wa kijinsia kwa watoto, wanawake na makundi mengine yamekithiri sana
PRIME Chanzo ongezeko la vifo, ajali za barabarani Zanzibar Zanzibar licha ya kuwa na miundombinu ya barabara, bado ina safari ndefu ya kuziwezesha kuwa na sifa hiyo
Msigwa akabidhiwa fomu, asema hana nia kugombea uongozi Chadema Taifa Mchungaji Msigwa amesema nafasi anayogombea ya uenyekiti Kanda ya Nyasa sio rahisi inahitaji weledi na rasilimali za kutosha
PRIME Chanzo ongezeko la vifo, ajali za barabarani Zanzibar Zanzibar licha ya kuwa na miundombinu ya barabara, bado ina safari ndefu ya kuziwezesha kuwa na sifa hiyo
PRIME Mahakama ilivyoulinda ubatili kwenye Katiba kuhusu mgombea binafsi Kwa wasomaji wapya, leo naendelea na makala elimishi kuhusu Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (JMT) kwa jicho la mtunga Katiba, alidhamiria nini wakati anaweka kifungu fulani.
PRIME Wazanzibar wengi hawana mpango wa kustaafu Kukosekana kwa elimu ya kujiandaa kustaafu, mfumo wa elimu usiomuandaa mtu kujiajiri na uwepo wa pensheni inayotolewa na Serikali kwa wazee zimetajwa kuwa miongoni mwa sababu ya asilimia 47 ya...
Mwamuzi wa Dabi huyu hapa! PRESHA ya mchezo wa 'Kariakoo Derby' kwa mashabiki wa Yanga na Simba nchini tayari imeanza kupanda wakati zikibakia siku mbili tu kwa miamba hiyo kushuka kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jumamosi...
Kajala akubali yaishe, aomba radhi kwa mzazi mwenziye Majani Mwigizaji Kajala Masanja amemuomba radhi mzazi mwenziye Paul Matthysse maarufu kwa jina la 'P Funk Majani' kutokana na migogoro waliyokuwa wakipitia kwa muda mrefu.
Mafyatu tunakumiss Edward Sokoine Najua umelala kwa miaka 40. Juzi nilisikia chawa mmoja akikuita mzee. Kwa uchache, nikupe bonge la kumbukizi. Uliondoka mbichi, miaka 45 tena kwa utata. Hata hivyo, ilisemekana, ulifyatuliwa na...
PRIME Sababu, athari kupotea kwa uandishi wa barua Mwaka jana, rafiki yangu Hanifa Kafashe alipata msiba wa mtoto wake aliyefariki kwa ajali ya gari.