PRIME Aliyetoka jela kwa kesi ya kuua, atuhumiwa kuua tena mkewe Polisi mkoani Mwanza wanamshikilia Jackson Kalamji (49) kwa tuhuma za kumuua mke wake, Mariam Bulacha (42) kwa kumchoma visu sehemu mbalimbali za mwili.
PRIME Kauli ya 'tutawapoteza' ya kigogo UVCCM moto Msajili wa vyama vya siasa, Jaji Francis Mutungi atoa neno. Sheikh Ponda akumbusha waliopotea
SMZ yatoa ufafanuzi kinachodaiwa hali ngumu maisha ya Rais mstaafu “Kwa hiyo si suala lakushughulikiwa nyumba yake tu, ni eneo lote la ukanda ule kuanzia Mazizini hadi Kilimani,” amesema.
PRIME Wenye nyumba Bonde la Msimbazi washtukiwa kutaka malipo ya wapangaji “Mfano kuna waliojiandikisha kuwa ni wapangaji lakini tulipohakiki tukakuta ni walewale wenye nyumba ambao walishalipwa fidia, mbaya zaidi wengine wameweka hadi majina ya watoto wao kuwa ni...
PRIME Mambo saba usiyopaswa kufanya baada ya kula Chakula ni muhimu kwa afya njema na kuna misingi inatakiwa kufuatwa ili kuepukana na madhara yatakayosababishwa baada ya kula chakula.
Mbunge: Rais mstaafu Zanzibar anaishi kwenye hali ngumu Akiuliza swali bungeni leo Ijumaa Aprili 19, 2024, Suleiman amesema kuna baadhi ya viongozi ambao waliitumikia Serikali ya Tanzania akiwamo Dk Salmin ambaye anaishi katika hali ngumu.
SMZ yatoa ufafanuzi kinachodaiwa hali ngumu maisha ya Rais mstaafu “Kwa hiyo si suala lakushughulikiwa nyumba yake tu, ni eneo lote la ukanda ule kuanzia Mazizini hadi Kilimani,” amesema.
PRIME Chanzo ongezeko la vifo, ajali za barabarani Zanzibar Zanzibar licha ya kuwa na miundombinu ya barabara, bado ina safari ndefu ya kuziwezesha kuwa na sifa hiyo
Mbowe, Lissu watakavyoongoza maandamano ya amani Chadema Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe na Makamu Mwenyekiti -Bara, Tundu Lissu watashiriki maandamano hayo na ratiba imetolewa ikieleza namna watakavyoyaongoza
PRIME Wazanzibar wengi hawana mpango wa kustaafu Kukosekana kwa elimu ya kujiandaa kustaafu, mfumo wa elimu usiomuandaa mtu kujiajiri na uwepo wa pensheni inayotolewa na Serikali kwa wazee zimetajwa kuwa miongoni mwa sababu ya asilimia 47 ya...
Liverpool, West Ham zafuata njia ya Arsenal, Man City LONDON, ENGLAND. LIVERPOOL na West Ham United zimetolewa katika michuano ya Europa League, baada ya kushindwa kupindua meza katika michezo ya mkondo wa pili. Liverpool ambayo ilichapwa bao 3-0...
Basata yazindua 'linki' ya uwasilishaji kazi za wasanii Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), limetangaza mfumo rasmi utakaotumika kuwasilisha kazi katika tuzo za muziki Tanzania (TMA)
Mafyatu tunakumiss Edward Sokoine Najua umelala kwa miaka 40. Juzi nilisikia chawa mmoja akikuita mzee. Kwa uchache, nikupe bonge la kumbukizi. Uliondoka mbichi, miaka 45 tena kwa utata. Hata hivyo, ilisemekana, ulifyatuliwa na...
PRIME Mambo saba usiyopaswa kufanya baada ya kula Chakula ni muhimu kwa afya njema na kuna misingi inatakiwa kufuatwa ili kuepukana na madhara yatakayosababishwa baada ya kula chakula.