VIDEO: Mji wa wavuvi uliogeuka magofu Mtera Ukiangalia pande zote unakuta nyumba zilizobomoka, nyingine mazingira yake yameota majani.
Ongezeko mauzo ya bustani nje ya nchi na athari zake kiuchumi Kuimarika kwa uhusiano wa kidiplomasia, uwepo wa sera wezeshi katika sekta ya biashara na miundombinu zimetajwa kuwa sababu za kupaa kwa mauzo ya mazao ya bustani nje ya nchi, ikiwemo mbogamboga...
PRIME Maaskofu walia uchaguzi huru Siku tatu kabla ya Sikukuu ya Pasaka, maaskofu wa makanisa ya Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Angalikana Tanzania na lile la Kilutheri Afrika Mashariki (KKAM) wameibua changamoto 12...
PRIME Hii hapa kauli ya wadau ndege mpya ATCL Wadau wa sekta za biashara na usafiri wa anga wamechambua hatua ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL), kuongeza ndege nyingine wakisema italiwezesha kutoa huduma kwa ufanisi katika masoko ya...
Chacha Heche ashinda uenyekiti Chadema Mara akiwa nje ya nchi Apata kura 59 sawa na asilimia 53 akiwa nje ya nchi, akiwashinda wenzake wawili waliopata kura 25 kila mmoja.
Ng'ombe 547 wakamatwa Hifadhi ya Taifa Ruaha Ili kukwepa mkono wa sheria wafugaji hao hupeleka mifugo katikati ya matindiga ambako inakuwa ngumu kufikika. Na mifugo ikikamatwa hujipanga na kuwavamia wahifadhi.
Hujafa hujaumbika, simulizi ya wavuvi walionusurika mdomoni mwa mamba Mtera Yohana Mpangala, mmoja miongoni mwa walishambuliwa na mamba wakati wa uvuvi kwenye Bwawa la Mtera, amesimua kisa chake na ameomba msaada wa kifedha ili kuanzisha biashara baada ya kushindwa kuvua...
Zena: MCL inaonesha kwa vitendo namna ya kuimarisha mshikamano Zena ametoa kauli hiyo leo Jumatatu Machi 25, 2024 alipokuwa akizungumza kwenye uzinduzi wa Kampeni ya The Citizen Rising Woman katika Hoteli ya Madnat, Unguja Zanzibar
PRIME Huyu ndiye Bassirou Faye aliyeishangaza dunia kutokea Senegal Kiongozi wa upinzani Senegal, mwenye nguvu zaidi, Ousmane Sonko, alitarajiwa kuwa mgombea urais mwenye nafasi kubwa ya kushinda katika uchaguzi mkuu 2024, hata hivyo alizuiwa kugombea.
Ongezeko mauzo ya bustani nje ya nchi na athari zake kiuchumi Kuimarika kwa uhusiano wa kidiplomasia, uwepo wa sera wezeshi katika sekta ya biashara na miundombinu zimetajwa kuwa sababu za kupaa kwa mauzo ya mazao ya bustani nje ya nchi, ikiwemo mbogamboga...
Benchikha aipa hofu Al Ahly Mkuu wa msafara wa Al Ahly, Hossam Ghally, amesema kizuizi kikubwa kwao kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Simba ni uwepo wa kocha, Abdelhak Benchikha.
Kipande cha mlango kilichookoa maisha ya Rose wa Titanic chauzwa Kipande cha mlango wa mbao kilichookoa maisha ya Rose wa filamu ya Titanic kimeuzwa kwa dola 718,750 ikiwa ni zaidi ya Sh 1.8 bilioni.
Kuna la kujifunza kauli ya Ndumbaro Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Damas Ndumbaro amezua mjadala kufuatia kauli yake aliyoitoa hivi karibuni aliposema atasikitishwa endapo ataona Watanzania wamevaa jezi za Al Ahly katika...
Hatari ya shisha kwa vijana katika kifua kikuu Ni kawaida siku hizi katika kumbi za starehe mijini kukuta mitungi ya shisha juu ya meza, huku watumiaji wakichangia kilevi hicho. Je, unajua kuna uwezekano mkubwa mtumiaji kupata maambukizi ya...