PRIME Dk Salim afichua ndoto zake UN zilivyokatishwa Katika moja ya shajara ya Dk Salim Ahmed Salim ya Ijumaa, Desemba 06, 1996, aliandika: “Leo imekuwa siku ya pekee kuhusu uwezekano wa kuwania kwangu nafasi ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UNSG).
Lusinde awashukia bungeni wanaomtusi Rais Samia mitandaoni Asema kuna wachambuzi wengine wanalalamika kwa nini Rais Samia anatajwa sana, lakini soka huwa wanaotajwa sana ni wale wenye kumiliki mpira.
Hivi kweli Rais anatukanwa polisi mpo kimya? Wiki iliyopita, tumemsikia Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda akisema wapo watu, wakiwamo mawaziri wanaowalipa watu fedha ili kumtukana Rais Samia Suluhu Hassan mitandaoni, najiuliza hivi...
Watanzania 56 waliozamia Afrika Kusini, wahukumiwa kulipa faini Sh50,000 kila mmoja Inaelezwa washtakiwa wakiwa raia wa Tanzania, waliondoka isivyo halali nchini kueleleka Afrika Kusini
Baba atiwa mbaroni akidaiwa kumnajisi mtoto wake Adai mtuhumiwa amekuwa akimfanyia kitendo hicho tangu mwaka 2022.
Alichosema Makalla mkoani kwa Chongolo Rais John Magufuli alitangaza uanzishwaji wa Mkoa wa Songwe kwenye Gazeti la Serikali (GN) Namba 461 Januari 29, 2016.
Msigwa akabidhiwa fomu, asema hana nia ya kugombea Chadema Taifa Mchungaji Msigwa amesema nafasi anayogombea ya uenyekiti Kanda ya Nyasa sio rahisi inahitaji weledi na rasilimali za kutosha
Petroli yaanza kupatikana, hofu bado Unguja Kila mmiliki wa kituo cha kuuza mafuta amepewa lita 2,000, hata kama anahitaji lita 10,000 za mafuta kwa siku.
PRIME Mahakama ilivyoulinda ubatili kwenye Katiba kuhusu mgombea binafsi Kwa wasomaji wapya, leo naendelea na makala elimishi kuhusu Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (JMT) kwa jicho la mtunga Katiba, alidhamiria nini wakati anaweka kifungu fulani.
PRIME Wazanzibar wengi hawana mpango wa kustaafu Kukosekana kwa elimu ya kujiandaa kustaafu, mfumo wa elimu usiomuandaa mtu kujiajiri na uwepo wa pensheni inayotolewa na Serikali kwa wazee zimetajwa kuwa miongoni mwa sababu ya asilimia 47 ya...
Azam yagonga hodi rasmi Yanga na Sh400 milioni Wakati msimu wa soka Tanzania ukiwa katika makumi yake ya mwisho, klabu kadhaa tayari zimeshaanza maandalizi ya msimu ujao.
Kajala akubali yaishe, aomba radhi kwa mzazi mwenziye Majani Mwigizaji Kajala Masanja amemuomba radhi mzazi mwenziye Paul Matthysse maarufu kwa jina la 'P Funk Majani' kutokana na migogoro waliyokuwa wakipitia kwa muda mrefu.
Mafyatu tunakumiss Edward Sokoine Najua umelala kwa miaka 40. Juzi nilisikia chawa mmoja akikuita mzee. Kwa uchache, nikupe bonge la kumbukizi. Uliondoka mbichi, miaka 45 tena kwa utata. Hata hivyo, ilisemekana, ulifyatuliwa na...
PRIME Sababu, athari kupotea kwa uandishi wa barua Mwaka jana, rafiki yangu Hanifa Kafashe alipata msiba wa mtoto wake aliyefariki kwa ajali ya gari.