VIDEO: CAG awasilisha ripoti yake kwa Rais Samia, abaini… Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Charles Kichere leo Alhamisi Machi 28, 2024 amewasilisha ripoti yake ya mwaka 2022/2023 kwa Rais Samia Suluhu Hassan ambapo amebaini mambo kadhaa.
Ajali Ruvu yasababisha msongamano wa magari mitaani Mabasi yaliyohusika kwenye ajali hiyo ni Sauli la Dar - Mbeya na New Force Dar -Tunduma.
Tanesco, mamlaka za maji zakwamisha ujenzi wa barabara Kutosomana kwa mifumo ya Tehama miongoni mwa taasisi za Serikali kumesababisha uharibifu na uchelewesha wa ujenzi wa barabara, ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imesema.
Polisi wadaka wawili wakisambaza Smart Gin bandia Watuhumiwa katika tukio hilo wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Iringa.
VIDEO: Chacha Heche ashinda uenyekiti Chadema Mara akiwa nje ya nchi Apata kura 59 sawa na asilimia 53 akiwa nje ya nchi, akiwashinda wenzake wawili waliopata kura 25 kila mmoja.
CAG abainisha hasara mashirika matano, mawili yarejesha ruzuku kama mapato Mashirika hayo ni lile la Ndege Tanzania (ATCL), Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Shirika la Reli Tanzania (TRC), Kampuni ya Uwekezaji (Tanoil) na Shirika la Posta.
CAG abainisha hasara mashirika matano, mawili yarejesha ruzuku kama mapato Mashirika hayo ni lile la Ndege Tanzania (ATCL), Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Shirika la Reli Tanzania (TRC), Kampuni ya Uwekezaji (Tanoil) na Shirika la Posta.
Zena: MCL inaonesha kwa vitendo namna ya kuimarisha mshikamano Zena ametoa kauli hiyo leo Jumatatu Machi 25, 2024 alipokuwa akizungumza kwenye uzinduzi wa Kampeni ya The Citizen Rising Woman katika Hoteli ya Madnat, Unguja Zanzibar
PRIME Huyu ndiye Bassirou Faye aliyeishangaza dunia kutokea Senegal Kiongozi wa upinzani Senegal, mwenye nguvu zaidi, Ousmane Sonko, alitarajiwa kuwa mgombea urais mwenye nafasi kubwa ya kushinda katika uchaguzi mkuu 2024, hata hivyo alizuiwa kugombea.
Ongezeko mauzo ya bustani nje ya nchi na athari zake kiuchumi Kuimarika kwa uhusiano wa kidiplomasia, uwepo wa sera wezeshi katika sekta ya biashara na miundombinu zimetajwa kuwa sababu za kupaa kwa mauzo ya mazao ya bustani nje ya nchi, ikiwemo mbogamboga...
Mastaa Mamelodi waanza kutua Kundi la kwanza la msafara wa Mamelodi Sundowns limewasili nchini ambapo mastaa wake saba wametua kwa ndege maalumu aina ya Jet.
Saudi Arabia yatangaza kushiriki Miss Universe 2024 kwa mara ya kwanza Kwa mara ya kwanza katika historia Saudi Arabia imeripotiwa kushiriki katika shindano la Miss Universe 2024, ikiwakilishwa na Miss Saudi Arabia 2021 Rumy Alqahtani (27).
Kuna la kujifunza kauli ya Ndumbaro Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Damas Ndumbaro amezua mjadala kufuatia kauli yake aliyoitoa hivi karibuni aliposema atasikitishwa endapo ataona Watanzania wamevaa jezi za Al Ahly katika...
Hatari ya shisha kwa vijana katika kifua kikuu Ni kawaida siku hizi katika kumbi za starehe mijini kukuta mitungi ya shisha juu ya meza, huku watumiaji wakichangia kilevi hicho. Je, unajua kuna uwezekano mkubwa mtumiaji kupata maambukizi ya...