MWANANCHI COMMUNICATIONS LIMITED (MCL)
TAMKO LA KATAO (DISCLAMER)
Mawasiliano katika tovuti yeyote hayawezi kudhibitiwa na mwenye tovuti. Kwa hiyo mamlaka ya MCL, wafanyakazi, washirika na wawakilishi wake hawatawajibika kisheria au kwa namna yoyote ile kutokana na madhara yoyote yatakayotokana na taarifa, habari, maoni au mawazo yatakayotokea katika tovuti hii.
MCL pia haitahusika na madai ya fidia au ya aina yeyote ile yatakayotokana na yaliyomo kwenye tovuti hii au yatakayotokana na tafsiri au ufafanuzi wa yaliyomo katika tovuti hii.
Viunganishi kutoka katika tovuti hii kwenda tovuti zingine, havina maana MCL imeridhia vyanzo hivyo vya habari, wala kuwa na ushirika na kinochotajwa katika tovuti hizo.
Katika tovuti ya MCL wasomaji na wadau mbalimbali wanaweza kutoa taarifa, habari, maoni na mawazo yao juu ya wanavyofurahishwa au kukwazwa na tovuti hii. Kwa hiyo basi taarifa, habari, maoni na mawazo ya wadau hao ni yao wenyewe na MCL, wafanyakazi, washirika na wawakilishi wake hawahusiki kwa namna yoyote Ile.
Yeyote atayekwazwa, kuudhiwa au kuathiriwa kwa namna yoyote Ile na chochote kilicho kwenye tovuti hii anashauriwa kutoa taarifa hiyo MCL ili taarifa hiyo iondolewe mara moja.
MCL, itafanya kila linalowezekana kuhakikisha kuwa habari zinazotolewa katika tovuti hii ni sahihi.
Mwisho |