Spika Ndugai aelekea bandari akiwa na wabunge 10

Spika wa Bunge, Job Ndugai

Muktasari:

  • Spika amefanya ziara hiyo baada ya kutua uwanja wa ndege wa Julius Nyerere na kuelekea moja kwa moja bandarini.

Dar es Salaam. Spika wa Bunge, Job Ndugai akiwa na ameambatana na wabunge 10 wametembelea bandari ya Dar es Salaam. 

Spika amefanya ziara hiyo baada ya kutua uwanja wa ndege wa Julius Nyerere na kuelekea moja kwa moja bandarini.

Bado haijaelezwa ziara hiyo ya Spika inalenga nini.