MwanzoContactsEmail
Home Habari Habari za Kimataifa Umuhimu wa Uingereza EU
BOOKMARK THIS PAGE
Umuhimu wa Uingereza EU  Send to a friend
Wednesday, 21 December 2011 13:26

WAZIRI wa Mambo ya Nje wa Ujerumani, Guido Westerwelle amesisitiza umuhimu wa Uingereza katika Umoja wa Ulaya.

Westerwelle alikutana na waziri wa mambo ya nje  wa Uingereza William Hague na naibu waziri mkuu Nick Clegg mjini London, kuujadili mzozo wa madeni wa kanda ya euro na pia migogoro ya kimataifa.


Waziri Westerwelle amesema, sekta imara ya fedha ya Uingereza, inanufaisha wote barani Ulaya. Vile vile akasisitiza haja ya kuwepo msimamo mmoja, miongoni mwa washirika wote wa Umoja wa Ulaya.


Add this page to your favorite Social Bookmarking websites
Reddit! Del.icio.us! Mixx! Free and Open Source Software News Google! Live! Facebook! StumbleUpon! TwitThis Joomla Free PHP
 

Add comment

Tumia jukwaa ili kutoa maoni ambayo yatasaidia kulijenga taifa letu. Kumbuka, maoni yako yatapitiwa kwanza kabla hayajarushwa hewani!!!!!!


Banner
Banner
Banner