MwanzoContactsEmail
Home Habari Habari za Kimataifa Yaruhusu waangalizi wa kimataifa
BOOKMARK THIS PAGE
Yaruhusu waangalizi wa kimataifa  Send to a friend
Wednesday, 21 December 2011 13:28

BARAZA Kuu la Umoja wa Mataifa limelaani ukandamizaji na ukiukaji wa haki za binadamu unaofanywa na serikali ya Syria tangu miezi tisa iliyopita, dhidi ya waandamanaji wanaodai demokrasia.

Kura ya baraza hilo inadhihirisha jinsi serikali ya Syria inavyozidi kutengwa katika Umoja wa Mataifa. Hapo awali, Syria ilikubali kuwaruhusu waangalizi wa kimataifa nchini humo na kushirikiana nao kwa ukamilifu.

Waangalizi hao wanatazamiwa kwenda Syria mwishoni mwa wiki hii, kusismamia utekelezaji wa makubaliano ya amani ili kumaliza umwagaji damu nchini humo.


Add this page to your favorite Social Bookmarking websites
Reddit! Del.icio.us! Mixx! Free and Open Source Software News Google! Live! Facebook! StumbleUpon! TwitThis Joomla Free PHP
Last Updated on Wednesday, 21 December 2011 13:29
 

Add comment

Tumia jukwaa ili kutoa maoni ambayo yatasaidia kulijenga taifa letu. Kumbuka, maoni yako yatapitiwa kwanza kabla hayajarushwa hewani!!!!!!


Banner
Banner
Banner