CCM yaelekeza ‘mishale’ majimbo ya Ukawa

Thursday December 7 2017

Mwenyekiti mpya wa CCM mkoani Iringa, Albert

Mwenyekiti mpya wa CCM mkoani Iringa, Albert Chalamila akitoa hotuba yake ya kuwashukuru wapigakura na kuelezea dira na mwelekeo wa uongozi wake baada ya kushinda uchaguzi uliofanyika kwenye ukumbi wa Kichangani mjini Iringa juzi. Kushoto ni Salim Abri aliyechaguliwa kuwa mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM kutoka Iringa. Na Mpigapicha Wetu 

By Waandishi Wetu, Mwananchi [email protected]

Advertisement