DC ataka vikundi vya sungusungu

File Photo

Muktasari:

Mkuu wa Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga, Nyabaganga Talaba amesema hayo alipozungumza na wakazi wa Kijiji cha Magalata, Kata ya Mwamalasa.

Kishapu. Wananchi wametakiwa kuanzisha vikundi vya sungusungu ili kuimarisha ulinzi.

Mkuu wa Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga, Nyabaganga Talaba amesema hayo alipozungumza na wakazi wa Kijiji cha Magalata, Kata ya Mwamalasa.

Amesema iwapo wataanzisha sungusungu hali ya usalama itaimarika katika maeneo hayo.